FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Akitaka atawacha asipotaka atawacha lakini Wapalestina hawawachi mpaka kieleweke.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atawacha vita Ghaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitaka atawacha asipotaka atawacha lakini Wapalestina hawawachi mpaka kieleweke.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atawacha vita Ghaza
Wewe ni mwehu , unajua Gaza occupation ya 2005 kurudi nyuma ya wazayuni hapo Gaza imekaa kwa muda gani huku ikishuhudiwa Hamas kuzaliwa na kukua kama walivyo leo ?Israel ataendelea kukaa hapo gaza hata miezi ili magaidi waliokimbilia ndani ya mahandaki wafe kwa njaa huko chini
Wamepiga peke yao bila mateka😂Mzuka wanajamvi,
Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
View attachment 2813097
View attachment 2813098
Soma historia ya Mashariki ya Kati unajifunza vingi kushida JF huku unaleta ushabiki mandazi unajipunja vingi.Ila inashangaza asee eti Gaza ilikuwa na bunge. Basi hiyo miswada yote iliyokuwa inapitishwa ilikuwa ya kigaidi tu.
Spika wao ni kale kabibi ka jfIla inashangaza asee eti Gaza ilikuwa na bunge. Basi hiyo miswada yote iliyokuwa inapitishwa ilikuwa ya kigaidi tu.
Hahaha Yesu...Hibi kwanini tusimuombe mungu ?kwanini tumsifie na kumuomba yesu amabaye ni binadamm aliyezaliwa na mama kama sisiBibie hebu mkiri Yesu uokoke utakuwa ntu poa sana.
Nimeto kea kuupenda msimamo wako katika imani, njoo kwa Yesu mama
Umezoea bunge la dodoma lililojengwa kijinga ,siti zimetengenezwa mbunge wako aone kitandaBunge au mahakama hii
Dogo tulia acha jazbaSoma historia ya Mashariki ya Kati unajifunza vingi kushida JF huku unaleta ushabiki mandazi unajipunja vingi.
Unatafuta bwana?Dogo tulia acha jazba
Unatafuta bwana?
Wewe hutaki injili?Yaishe usijeanza kunihubiria na mimi!
Wewe kuwa na bwana ni tusi?Ostadh acha matusi basi?
Mara zote unajitahidi kugeuza vita hii iwe kidini lakini wenye dini yao wamegoma.Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Sikushangai, nafahamu kuwa watenda dhambi mnaogopa hata kuusikia Uislam.
Uislam wenyewe ulivyo ni dhambi tupu.Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Sikushangai, nafahamu kuwa watenda dhambi mnaogopa hata kuusikia Uislam.
Kama mwamedi?Wewe kuwa na bwana ni tusi?
Wewe naona unatamani sana kurudia ubikra ila hilo halitawezekana mpaka labda uende ukapigane jihad Gaza. No sweet without sweat.Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa wenye kujielewa wote duniani.
Sikushangai mtumwa wa mazayuni.