Mkuu hizo takwimu zako mbona ni mara ya kwanza kuzisikia kwa sababu hata Israel yenyewe haijawahi kutoa takwimu hizo ulizo zileta.Hapo ndio tunakwenda kwenye majibu.
Unajua hiyo idadi ya wapiganaji 3000 na zaidi ilitolewa na nani?
Nikakuuliza unajua hiyo October 07 walipoingia israel na kuua wanajeshi 390 na polisi 145 na raia 1400.
Nani alikadiria hesabu yao na kwa uhakika upi????
NB: NI MARA YA KWANZA SABABU HUFUATILII NA HUJUI MAITI NGAPI ZA WAPIGANAJI WA HAMAS ZILIBAKI ISRAEL OCTOBER 07 NA 08 NA 09
Ni kweli ila siwezi nyamazia mtu anaye nikesea heshima hata nipigwe ban mara 100.Haulipwi mshahara lakini muda mwingi upo hapa nimekupa pole sababu kwa kiasi flan ulikosa access ya kuchangia mada mbali mbali kama ilivyo kawaida yao.Hakuna anaelipwa mshahara hapa zaidi ya waajiriwa wa JF.
Punguza masihala Faiza,wahurumie basi watu wa Gaza wananvyopukutishwa na ki Nchi chao kinavyogeuzwa kifusi.Siku ya 38 leo. Wameanza kupata wehu huko, inabidi wakodishe "mercenaries".
Unalielewa hilo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atawacha vita GhazaNetanyahu leo katangaza atawacha vita mateka wakiwachiwa.
.mnafahamu maana yake nini hiyo? Kwa mtu aliyekuwa anasema haongei kuwacha vita mpaka Ghaza wote waishe?
Mtajaza wenyewe.
Mkuu duuh ina maana haufuatilii vyombo vya habari kujua yanayojiri kati ya IDF na Hamas kwenye press media zaoMkuu hizo takwimu zako mbona ni mara ya kwanza kuzisikia kwa sababu hata Israel yenyewe haijawahi kutoa takwimu hizo ulizo zileta.
Mkuu ya JF mtu akikutukana ndio unaumia??Ni kweli ila siwezi nyamazia mtu anaye nikesea heshima hata nipigwe ban mara 100.
Ni pamoja na kupiga picha kuonyesha hatua ya mafanikio waliyofikiaSidhani kama walitumwa gaza kwenda kupiga picha kwenye magofu ,bali walitumwa gaza kwenda kuiangamiza hamas na kuwakomboa mateka.
We ndio mpima akili au wale wale wagonjwa wakurusha maweHuna akili
Israel ataendelea kukaa hapo gaza hata miezi ili magaidi waliokimbilia ndani ya mahandaki wafe kwa njaa huko chiniSiku ya 38 leo. Wameanza kupata wehu huko, inabidi wakodishe "mercenaries".
Unalielewa hilo?
Mafanikio gani? Yaani waisrael wanasubiri habari kuhusu mateka alafu nyinyi mnawaletea picha?Ni pamoja na kupiga picha kuonyesha hatua ya mafanikio waliyofikia
Mkuu mbona nafuatilia sana? Na ndio maana nime kwambia kuwa takwimu zako zina walakini kwa sababu hazijawahi kutolewa na media yeyote au Israel.Mkuu duuh ina maana haufuatilii vyombo vya habari kujua yanayojiri kati ya IDF na Hamas kwenye press media zao
Fuatilia utaona mkuu na utajua ni maiti ngapi za wanajeshi wa Hamas zilipatikana ndani ya Israel October 07 na 08 na 09Mkuu mbona nafuatilia sana? Na ndio maana nime kwambia kuwa takwimu zako zina walakini kwa sababu hazijawahi kutolewa na media yeyote au Israel.
Yaishe usijeanza kunihubiria na mimi!Yesu alitupa wote agizo kuu kuwa tuenende wote tukaihubiri injili kwa kila kiumbe mwanangu
haya hapo ni wapi?Hao wanajeshi ni makondoo waliopotea wanatafuta ushindi wa kijinga wa picture ili waonekane walifika Gaza [emoji1]
Kuna sehemu zingine Gaza ni km 0.6km kutumia njia ya bahari labda hata hilo bunge liko area za baharini ndio sababu wamefika, tuonyesheni mmefika Gaza city? Au hio Al Shifa Hospital mmeisha fika au bado?
Una wehu kidogo? Unafahamu maana ya "shaheed"?Punguza masihala Faiza,wahurumie basi watu wa Gaza wananvyopukutishwa na ki Nchi chao kinavyogeuzwa kifusi.
Watasubiri sana.Israel ataendelea kukaa hapo gaza hata miezi ili magaidi waliokimbilia ndani ya mahandaki wafe kwa njaa huko chini
tunnels 😄 ngojea watu wenye ujuzi wa engineering hasa civilian engineering nawale ma expert watatueleza wanacho ongea Israel ni kweli au ujinga 😄haya hapo ni wapi?View attachment 2813313