Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SOmetimes tusikie habari jamani, tuache ujuaji.Hao wanajeshi ni makondoo waliopotea wanatafuta ushindi wa kijinga wa picture ili waonekane walifika Gaza 😄
Kuna sehemu zingine Gaza ni km 0.6km kutumia njia ya bahari labda hata hilo bunge liko area za baharini ndio sababu wamefika, tuonyesheni mmefika Gaza city? Au hio Al Shifa Hospital mmeisha fika au bado?
Kaa kimya wewe bibi acha kupotosha. ShameNetanyahu leo katangaza atawacha vita mateka wakiwachiwa.
.mnafahamu maana yake nini hiyo? Kwa mtu aliyekuwa anasema haongei kuwacha vita mpaka Ghaza wote waishe?
Mtajaza wenyewe.
Hivi mkuu wewe unafurahia HAMAS kushikilia mateka raia wasio na hatia wakiwemo watanzania wenzio ?.Mafanikio gani? Yaani waisrael wanasubiri habari kuhusu mateka alafu nyinyi mnawaletea picha?
Mkuu mbona nafuatilia sana? Na ndio maana nime kwambia kuwa takwimu zako zina walakini kwa sababu hazijawahi kutolewa na media yeyote au Israel.
😂😂 Mkuu mbona povu 🤣🤣Wewe ni mwehu , unajua Gaza occupation ya 2005 kurudi nyuma ya wazayuni hapo Gaza imekaa kwa muda gani huku ikishuhudiwa Hamas kuzaliwa na kukua kama walivyo leo ?
Kenge we
Kumbe ni kweli ndani ya hospital Kuna mahandaki wanayoyatumia HAMAS?🤣🤣🤣Wewe unadhani hata wazayuni wakiamua kukaa hapo ndio kwamba Harakati za Hamas zitaisha au watakufa njaa ,kwa akili yako mgando hiyo ? , Unajua urefu wa hizo bunkers na tunnels ? ,
Unajua hizo tunnels zimesambaa mpaka katika mataifa gani hapo ya karibu ?
Unajua supplies za ujenzi na uzalishaji wa silaha Hamas walikuwa au wanaendelea kuzipata kwa namna gani ukizingatia Gaza miaka yote imekuwa surrounded katika mipaka yako na wazayuni (border control ) na kabla ya 2005 hao Hamas wameanza kujenga hizo underground bunkers and tunnels na wazayuni wakiwa hapo hapo kama occupiers
Tumia akili usitumie emotions za kijinga na makalio kufikiri
Hahaah ila wakristo bana kwa vituko ..yaaani Yesu alikufa miaka 2000 iliyopita na kamera imegunduliwa mwaka 1861...Lakini eti mtu anakuja na picha ya HD na kuwaambia kabisa eti huyu ndio yesu na nyie mnakubali....huyo aliyempiga picha huyo bana yesu kabla camera hajizagunduliwa anaitwa nani vile?hahah kweli huu ni ujinga kiwango cha lami..Siuende ukasifu na kuwaomba majini yenu nani amekunyima
Jichanganye tu kuna ukweli mwishoni jifanye uu mpofu,yesu hajafaHahaah ila wakristo bana kwa vituko ..yaaani Yesu alikufa miaka 2000 iliyopita na kamera imegunduliwa mwaka 1861...Lakini eti mtu anakuja na picha ya HD na kuwaambia kabisa eti huyu ndio yesu na nyie mnakubali....huyo aliyempiga picha huyo bana yesu kabla camera hajizagunduliwa anaitwa nani vile?hahah kweli huu ni ujinga kiwango cha lami..
Poyoyo, huwa sikisii, sema wewehii nini?:Kaa kimya wewe bibi acha kupotosha. Shame
Adui hatari na mkubwa kwa uislamu ni Mr. Pork!Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Sikushangai, nafahamu kuwa watenda dhambi mnaogopa hata kuusikia Uislam.
Hii ni kwa mujibu wa nani?... walitumwa gaza kwenda kuiangamiza hamas na kuwakomboa mateka.
Eti kweli, bilia imesema Yesu aliwateketeza ma pork? Ni Kweli?Adui hatari na mkubwa kwa uislamu ni Mr. Pork!
Kwa yesu hawa waisraeli ni magaidi tu.yesu hapendi uonevu na watu kutesekaBibie hebu mkiri Yesu uokoke utakuwa ntu poa sana.
Nimeto kea kuupenda msimamo wako katika imani, njoo kwa Yesu mama
Weka idadi ya wapalestina waliouawa kabla ya vita na idadi ya waisraeli ndo utajua mchokozi ni naniupigania uhuru ni kuua watoto w kiyaudi ? mbona Nyerere angeua wengi
Wapalestina wapo kwao unawaambia hawapo sehemu sahihi? Au walitokea Tanzania na wao?
Kwanini hawawezi kutofautisha? Tumia akili yako japo kidogo.Kama ni hivyo. Nini kimefanya Wawateke Wasiohusika kwa kutetea haki zao?
Walishindwa kutofautisha Waisraeli na Watanzania?
Yesu alifananisha nguruwe na mashetani hata alipokuwa akimtoa yule mtu mapepo ni mangurue ndiyo yaliondolewa na kukimbilia baharini baadhi yapo humo mpaka kesho!Eti kweli, bilia imesema Yesu aliwateketeza ma pork? Ni Kweli?
Uislam ni mwema sana.
Mbona wapo na jirani anachinja kesho nimeweka odaEti kweli, bilia imesema Yesu aliwateketeza ma pork?
Operation ya Gaza ikiisha utawaona hao wabunge wa Iran wakichoma moto kinyago cha Netanyahu na bendera ya Israel huku wakipiga kelele kwa nguvu wakisema "death to Israel, death to Israel"Kenge hao, hata kipindi kile cha Vita ya Ghuba, walisema America haitafua dafu kwa makombola ya scud ya Sadam,
Walisema hawataweza kumkamata Osama,
Sasa Gaza inachukuliwa, inakuwa makazi ya Jews, natamani kuwaona wabunge wa bunge LA Iran, waliokata mauno na kuserebuka October 7,Hamas walipovamia Israel.
Wewe kula hao mateka kama ni watamuHawa malofa kweli wanapiga picha ndani ya bunge wakati hawajui mateka wao zaidi ya 230 walipo