Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi