Hakika usilolijua ni tabu kweli falsafa ya ushindi kwa waisrel ni kupiga na kuua raia wengi ili kuwafanya raia wawachukie wanajeshi wa nchi yao wawageuke wakose kuungwa mkono wasimamishe vita yaani wanaiita " dahiya doctrine" sasa ni jeshi ovu tu duniani lenye doctrine ya kihayawani jeshi imara hupambana na wanajeshi wenzao na pia laiti kama hizbullah angeamua kufanya mashambulizi dhidi ya raia basi hao waisrael wangekuwa wameshakimbia ila kwa mambo yanavyoenda kuna uwezekana hali imabadilika ikiwa iran tu amebadilisha ile sera yake ya uvumilivu na sasa strike kwa strike basi kuna uwezekano pia hata kwenye uwanja wa vita pia wataanza kutarget civillians pia na wao kulipiza.