Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua mwenyewe sisi tunajua waarabu ni kobazi hivyo tunafurahia kazi ya Israel kumaliza magaidiUsichokijua ni kuwa bomu halichagui dini kabila au rangi. Lebanon wako na WAKRISTO japo wavamizi waarabu wamekuwa wengi.kuliko wenyeji.
Tunaiunga mkono Israel dhidi ya magaidiMwamba ngoma huvutia kwake! Upande wa pili wakikupa data za wanajeshi wa Israel waliouawa ni zaidi ya hayo magaidi yaliyouawa!
Si uniwekee hizo Aya zinazoonyesha Huo umoja wa wayahudi na wakristoHii sio solution bible ipo wazi ingia fb mtafute myahudi hananya naftal umsome vizuri uongeze ujuzi
Hao magaidi wa Israel,walimpiga,wakamtemea mate,wakamdhihaki,wakamchoma mkuki,wakamsulubu,wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa,itakuwa hao HezbAllah,chama cha siasa.Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi
Tunaiunga mkono Israel taifa teule dhidi ya magaidi God bless IsraelHao magaidi wa Israel,walimpiga,wakamtemea mate,wakamdhihaki,wakamchoma mkuki,wakamsulubu,wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa,itakuwa hao HezbAllah,chama cha siasa.
Na pia tuwaunge mkono magaidi wa Israel na Yuda ikariote,kwa kumpiga,kumdhihaki,kumchoma mikuki,kumvalisha napi,kumsulubu na kumuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa hso magaidi ya Israel,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.Tunaiunga mkono Israel dhidi ya magaidi
Tunaiunga mkono Israel dhidi ya magaidi sababu inafanya kazi nzuri sana god bless IsraelNa pia tuwaunge mkono magaidi wa Israel na Yuda ikariote,kwa kumpiga,kumdhihaki,kumchoma mikuki,kumvalisha napi,kumsulubu na kumuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa hso magaidi ya Israel,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
Hivi waarabu Ni ma coward kiasi gani. Wayahudi wanaua ndugu zao Gaza, West Bank na Lebanon, miarabu imekaa tu, hawajui kwamba myahudi akimaliza na Lebanon atakwenda kupiga Syria halafu Iran na Yemen.
Hivi waarabu au tuseme waislamu wanaungana kwenye hijja tu?
FaizaFoxy hivi unadhani kwanini wote wanaolaani mauwaji ya Gaza na Lebanon hawawezi kuungana na kuwatetea wanyonge?
Una hakika wale ni wa kristo wenzenu?Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi
Yesu Kristu ni MyahudiHakuna yahudi mkiristo, mayahudi dini yao ni Judaism,
Tunaiunga mkono Israel taifa teule dhidi ya magaidi God bless Israel
Tunaiunga mkono Israel dhidi ya magaidiWalikuwekea papuchi ??
Myahudi lakini hakuwa mkiristo wala Judaism, soma vizuri bibilia yako usilete porojoYesu Kristu ni Myahudi
Wakristu ni wafuasi wa Kristu (ambaye ni Myahudi). Kwa hiyo Wakristu ni wafuasi wa Myahudi.Myahudi lakini hakuwa mkiristo wala Judaism, soma vizuri bibilia yako usilete porojo
Kumbe unaongozwa na US wakati yesu alitokea middle east? au US umefuata yale mambo yenu ya upinde na LGBTQDunia ya magaidi wa msikitini ila dunia ya sisi wakristo tukiongozwa na mbabe wa dunia USA tunafurahia magaidi yakiuwawa mungu saidia Israel dhidi ya magaidi wayamalize yote
Tunafurahia nchi yetu ya Israeli ambayo inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa magaidi Israel ni taifa teule god bless IsraelKumbe unaongozwa na US wakati yesu alitokea middle east? au US umefuata yale mambo yenu ya upinde na LGBTQ
Ila sasa mkuu, kwa nini huwa unajificha unapofanya ibada ya kitamaduni?Yesu si mtu wa kwetu, hana faida yoyote maishani mwangu.
So sioni haja ya kusumbuka na mtu ambaye hata watu wa kwao tu walimkataa.
Kama Yesu alishindwa kuwashawishi wayahudi wenzie wamfuate, kwanini mmakonde mmoja hapa aje anishawishi niachane na tamaduni za kwetu, nifuate falsafa za huyo Yesu?