Tatizo tanzania ni poor education ndio maana watu wanaamini kwenye vitu kama mafuta ya upako na kiboko ya wachawi
Hivi kweli hadi leo bado kuna mtu hajui kwamba israel siyo wakristo na taifa la israel lina waislamu wengi zaidi ya mara kumi ya wakristo waliok israel,
Israel ni wayahudi na kitabu chao ni torah hawaamini biblia kama wewe mleta hoja ,na hawali nguruwe kama wewe, ila wanakula halal food kama waislamu ,wao wanaita kosher, na wanaamini kwenye mungu mmoja ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa, hawaamini kwwnye miungu watatu kama wewe