Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

Israel ni Wayahudi
Lakini kuna Waarabu wakristo pale jimbo la Galilee huko northern Israel. Na waarabu hawa ni raia wa Israel siyo Palestine.

Screenshot_20241006_082120_Chrome.jpg
 
T

Yesu ni myahudi mtupu na tunaiunga mkono Israel dhidi ya magaidi

Yesu aliwaambia wayahudi

Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).

Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

“Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

“Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
 
Israeli taifa la wakristo wenzetu inaendelea kumaliza magaidi
Either wewe ni LIJINGA au LIPUMBAVU,Israel ina waislamu mara 9 ya wakristo😄😃🤣,......jumapili kama Leo munaenda kuwatijirisha wenzenu huku wakiwaombea kwa mungu wa Israel😀😃
 
Attachments

  • Screenshot_20241004-184152.png
    Screenshot_20241004-184152.png
    205.5 KB · Views: 2
Hata ukisemaje unakua unajisumbua tu tunaiunga mkono Israel na tunatambua kama ni wakristo wenzetu wanaofyeka magaidi sababu Israel ni taifa teule
wakiristo wenzako walioko uko Israel na maeneo mengine duniani wanaandamana kupinga ugaidi wa Netanyahu ni wewe wa ufipa tu usiyejielewa, hard-headed, mayahudi si wakiristo nenda ata ka-google ujuwe dini ya mayahudi, usiwe mjinga wa ufahamu
 
Akili zako zina shida sana. Ni bora ungekuwa na mahaba na wapare wenzako kuliko hao mayahudi wanaochukia wakristo

Umewahesabu wapi hapo Hezbolah 560? Ulilala tu ukapata hii figure?

Eti kuifanya Iran iwe majivu, kuwa mtoto raha sana. Hao waisraeli wako wanamtegemea USA ambae kamshindwa Iran
Usa ashindwe kwa iran🙄🙄🙄🙄🙄 wewe sijui wa wapi??!! Na kingine kama hujui wayahudi na wakristo lao ni moja soma historia ujue usikurupuke
 
Usa ashindwe kwa iran🙄🙄🙄🙄🙄 wewe sijui wa wapi??!! Na kingine kama hujui wayahudi na wakristo lao ni moja soma historia ujue usikurupuke

historia hii hapa isome wewe kama lao kweli ni moja

Kama hujui
wakiristo wenzako walioko uko Israel na maeneo mengine duniani wanaandamana kupinga ugaidi wa Netanyahu ni wewe wa ufipa tu usiyejielewa, hard-headed, mayahudi si wakiristo nenda ata ka-google ujuwe dini ya mayahudi, usiwe mjinga wa ufahamu
Kama hujui kitu kaa kimya wewe nikweli ukristo na uyahudi ni ndugu kabisa kiimani,ni bora ukatulia kwenye uislam wako,hao wanaoandamana wana yao nyuma ya pazia kusiasa zaidi jiongeze wewe
 
Back
Top Bottom