Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

Yesu sio myahudi, na sio kila muisrael ni myahudi.. Tofautisha Uisrael(Ucaanan) na uyahudi (Jewish).. Uyahudi ni dini na utamaduni, kuna waisrael wakristo, Waislamu, wayahudi.. Ila kwakuwa nimeona una dalili za kuwa kichwa ngumu na shule huna utabisha hili. Yesu kazaliwa Bethlehem ambapo ni Palestina
Yesu ni myahudi na tunaliombea taifa teule la wakristo wenzetu Israel
 
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi
Islael sio wakristo wenzio ...tena hawampendi yesu wala kumtambua.Na biblia hawatumii kule .Jitafakari
 
Yesu sio myahudi, na sio kila muisrael ni myahudi.. Tofautisha Uisrael(Ucaanan) na uyahudi (Jewish).. Uyahudi ni dini na utamaduni, kuna waisrael wakristo, Waislamu, wayahudi.. Ila kwakuwa nimeona una dalili za kuwa kichwa ngumu na shule huna utabisha hili. Yesu kazaliwa Bethlehem ambapo ni Palestina
Naona mmeanzisha madaaksudi na huyo mleta mada mwenzako ili mje kuprove kwamba waisrael siyo wakristo.
 
Islael sio wakristo wenzio ...tena hawampendi yesu wala kumtambua.Na biblia hawatumii kule .Jitafakari
Tunalioombea TAIFA TEULE LA wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia
 
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi

Jeshi lenyewe la askari wasenge waliowekewa papuchi ??

View: https://www.instagram.com/reel/C1sJUnZrzEq/?utm_source=ig_web_copy_link
 
Akili zako zina shida sana. Ni bora ungekuwa na mahaba na wapare wenzako kuliko hao mayahudi wanaochukia wakristo

Umewahesabu wapi hapo Hezbolah 560? Ulilala tu ukapata hii figure?

Eti kuifanya Iran iwe majivu, kuwa mtoto raha sana. Hao waisraeli wako wanamtegemea USA ambae kamshindwa Iran
Unajikuta mtu mzima kumbe we ndo litoto mbona we unawaunga mkono waarabu?
 
Hilo utajua mwenyewe sisi tunatambua wayahudi ni wakristo na yesu ni myahudi na tunaliombea taifa teule la Israel dhidi ya magaidi
Israel haijawahi kuwa ni taifa teule, hiyo mistari kwenye bibilia ilipachikwa ni LGBTQ countries ili Israel iungwe mkono otherwise hakuna taifa liitwalo Israel ni taifa bandi na muda umefika litafutika kabisa,

wewe ata ukitambua ni wenzako itakuwa ni kwa ujinga tu, wakiristo wenzako walioko Jerusalem wameuliwa kwenye vita hivi na wale wakiristo waliokuwa palestine makanisa yao yamegeuzwa vifusi na kuuliwa
 
Hata ukisemaje unakua unajisumbua tu tunaiunga mkono Israel na tunatambua kama ni wakristo wenzetu wanaofyeka magaidi sababu Israel ni taifa teule
 
Back
Top Bottom