Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

Israel pekee ndo anajua jinsi ya kuwaadhibu magaidi
 
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu. Baadhi yao ni marafiki kwa baadhi nyingine. Na anaye wafanya wao kuwa marafiki zake, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu walio dhulumu."
 
Yesu ni myahudi na Israel ni wakristo

Sasa sisi wakristo tumechagua kuwa pamoja na Israel kama nyinyi mlivyochagua kuwa na waarabu
Kila kizazi baada ya kuzaliwa mtume Muhammad (s.a.w) ni wake na ndio maana hata hapo islael wapo waislamu tena ni wengi kuliko wakristo, source Google religion statics
 
Kama hujui

Kama hujui kitu kaa kimya wewe nikweli ukristo na uyahudi ni ndugu kabisa kiimani,ni bora ukatulia kwenye uislam wako,hao wanaoandamana wana yao nyuma ya pazia kusiasa zaidi jiongeze wewe
udugu wa ukiristo na uyahudi umeanzia wapi?? yesu anatukanwa na mayahudi, wakiristo wamefyekwa kwenye hivi vita, wanaandamana kupinga ugaidi wa netanyahu piriad., go to scholl
 
Mimi Mkristo lakini sijawahi kuwapenda Hao wayahudi kuna video Hao wayahudi wanawatemea mate wakristo anguko la Iran ndio mashariki ya kati kuwa chini ya Israel na ndio mwisho wa Taifa la Palestina
 
udugu wa ukiristo na uyahudi umeanzia wapi?? yesu anatukanwa na mayahudi, wakiristo wamefyekwa kwenye hivi vita, wanaandamana kupinga ugaidi wa netanyahu piriad., go to scholl
Hiyo kutukanwa sio solution kumbe wewe ni abunuasi mbona mtume wako alitukanwa na ndugu zake hivi unajua Yesu ni myahudi ukijua hilo mengine jifunze ujue vizuri usizubae kujifunza kwa kujawa na mihemuko hutojua kitu wewe
 
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza
 
Yesu ni myahudi na Israel ni wakristo wenzetu
Israel sio taifa la Kikristo. Ukristo ni Imani katika YESU Kristo mwenyewe.

Kabla ya ujio wa YESU Kristo, Israel ilikuwepo na taratibu zake. Lakini iwepo wa Israel na uteule wake kwa Mungu, ni maagano ya Mungu mwenyewe na Wazee wa Imani Abraham, Isaka na Yakobo.

NB
Asili ya mvurugano wa Sasa ni kitendo Cha Baba yetu wa Imani Abraham kusikiliza ushauri wa Mkewe wa Agano na Mungu, (akaacha kumuuliza Mungu wake), akaenda kuzaa na house girl wa kimisri (Mchepuko).

Ndio kama Adama alivyomsikiliza Mkewe akaenda kula tunda Hadi Leo dhambi inaangamiza ulimwengu.

(ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI)
 
Kila kizazi baada ya kuzaliwa mtume Muhammad (s.a.w) ni wake na ndio maana hata hapo islael wapo waislamu tena ni wengi kuliko wakristo, source Google religion statics
Duuh msikitini ndo huwa mnadanganyana hivyo?
 
Duuh msikitini ndo huwa mnadanganyana hivyo?
Mkuu kila mtu atoe ushahidi according to his book, hyo according to Quran kariim, sasa wewe toa yako according to bibilia
 
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi

Huna namba yoyote ya waisraeli waliokufa huko?
 
wakiristo wenzako walioko uko Israel na maeneo mengine duniani wanaandamana kupinga ugaidi wa Netanyahu ni wewe wa ufipa tu usiyejielewa, hard-headed, mayahudi si wakiristo nenda ata ka-google ujuwe dini ya mayahudi, usiwe mjinga wa ufahamu
Yaani bado hujasema nasema hivi tunaiombea Israel iwagonge magaidi mpaka waishe god bless Israel
 
Hiyo kutukanwa sio solution kumbe wewe ni abunuasi mbona mtume wako alitukanwa na ndugu zake hivi unajua Yesu ni myahudi ukijua hilo mengine jifunze ujue vizuri usizubae kujifunza kwa kujawa na mihemuko hutojua kitu wewe
Wanaomtukana Mtume s.a.w, sisi waislamu hatuko pamoja nao
 
Israel sio taifa la Kikristo. Ukristo ni Imani katika YESU Kristo mwenyewe.

Kabla ya ujio wa YESU Kristo, Israel ilikuwepo na taratibu zake. Lakini iwepo wa Israel na uteule wake kwa Mungu, ni maagano ya Mungu mwenyewe na Wazee wa Imani Abraham, Isaka na Yakobo.

NB
Asili ya mvurugano wa Sasa ni kitendo Cha Baba yetu wa Imani Abraham kusikiliza ushauri wa Mkewe wa Agano na Mungu, (akaacha kumuuliza Mungu wake), akaenda kuzaa na house girl wa kimisri (Mchepuko).

Ndio kama Adama alivyomsikiliza Mkewe akaenda kula tunda Hadi Leo dhambi inaangamiza ulimwengu.

(ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI)
Tunaiunga mkono Israel dhidi ya kufyeka magaidi god bless Israel
 
Yesu ni myahudi wewe ndio huna akili Israel inatokomeza ugaidi na sisi kama wakristo wenzetu lazima tuwaunge mkono dhidi ya magaidi
Israel ni wayahaud (Jews) sio Wakristo. Takriban 76% ni wayahaud, 18% waislamu na 1.6 % ndo Wakristo. So, Unashindwa kutifautisha ukiristo na uyahud??? Au badili dini uwe myahudi maana wayahudi sio wa kristo.
 
Back
Top Bottom