Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Yesu ni myahudi nafikiri umenielewaIsrael ni Wayahudi
Israeli taifa la wakristo wenzetu inaendelea kumaliza magaidihuenda na wewe ni gaidi wa 561
Akili zako zina shida sana. Ni bora ungekuwa na mahaba na wapare wenzako kuliko hao mayahudi wanaochukia wakristoIsraeli taifa la wakristo wenzetu inaendelea kumaliza magaidi
Mnawaombea waisrael kwa Yesu waliyemkataa?Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia lazima alipuliwe atakua kawaponza raia sababu lengo la taifa teule la Israel ni kutokomeza ugaidi
Yesu ni myahudi wewe ndio huna akili Israel inatokomeza ugaidi na sisi kama wakristo wenzetu lazima tuwaunge mkono dhidi ya magaidiAkili zako zina shida sana. Ni bora ungekuwa na mahaba na wapare wenzako kuliko hao mayahudi wanachukia wakristo
Umewahesabu wapi hapo Hezbolah 560? Ulilala tu ukapata hii figure?
JehovahAnaitwa BWANA MUNGU WA MAJESHI
Hakuna yahudi mkiristo, mayahudi dini yao ni Judaism, yesu wanamtukana na kumtemea mate na kumwita mtoto wa haramu.,Israeli taifa la wakristo wenzetu inaendelea kumaliza magaidi
Yesu alisulubiwa hadi kufa na Wayahudi Nina uhakika umenielewa sana 😂Yesu ni myahudi nafikiri umenielewa
Israeli taifa la wakristo wenzetu inaendelea kumaliza magaidi
Yesu sio myahudi, na sio kila muisrael ni myahudi.. Tofautisha Uisrael(Ucaanan) na uyahudi (Jewish).. Uyahudi ni dini na utamaduni, kuna waisrael wakristo, Waislamu, wayahudi.. Ila kwakuwa nimeona una dalili za kuwa kichwa ngumu na shule huna utabisha hili. Yesu kazaliwa Bethlehem ambapo ni PalestinaYesu ni myahudi nafikiri umenielewa
Yesu ni myahudi na Israel ni wakristo wenzetuMnawaombea waisrael kwa Yesu waliyemkataa?
Yesu alishindwa kuwa na ushawishi kwa jamaa zake huko.
Watu kibao walimkataa, hata wakamchoka na kumsulubisha.
Kimsingi, bila dola la kirumi, hizo habari za Yesu zisingekufikia wewe mnyalukolo.
Yesu ni myahudi na Israel taifa teule ni wakristo wenzetuJambo usilolijua ni kwamba Population ya waislamu Israel ni kubwa karibu mara kumi kuzidi ya Wakristo. Israel ni taifa la wayahudi ( Jews ).
Alafu ni kabila gani walimuua Yesu?Yesu ni myahudi wewe ndio huna akili Israel inatokomeza ugaidi na sisi kama wakristo wenzetu lazima tuwaunge mkono dhidi ya magaidi
Hilo utajua mwenyewe sisi tunatambua wayahudi ni wakristo na yesu ni myahudi na tunaliombea taifa teule la Israel dhidi ya magaidiHakuna yahudi mkiristo, mayahudi dini yao ni Judaism, yesu wanamtukana na kumtemea mate na kumwita mtoto wa haramu.,
Bora ujielewe., usitumiliwe ni LGBTQ
Israeli taifa teule ni wakristo wenzetu tunawaombeaAlafu ni kabila gani walimuua Yesu?
Asilimia ngapi ya waisrael ni wakristo?Yesu ni myahudi na Israel ni wakristo wenzetu