Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

Hakika usilolijua ni tabu kweli falsafa ya ushindi kwa waisrel ni kupiga na kuua raia wengi ili kuwafanya raia wawachukie wanajeshi wa nchi yao wawageuke wakose kuungwa mkono wasimamishe vita yaani wanaiita " dahiya doctrine" sasa ni jeshi ovu tu duniani lenye doctrine ya kihayawani jeshi imara hupambana na wanajeshi wenzao na pia laiti kama hizbullah angeamua kufanya mashambulizi dhidi ya raia basi hao waisrael wangekuwa wameshakimbia ila kwa mambo yanavyoenda kuna uwezekana hali imabadilika ikiwa iran tu amebadilisha ile sera yake ya uvumilivu na sasa strike kwa strike basi kuna uwezekano pia hata kwenye uwanja wa vita pia wataanza kutarget civillians pia na wao kulipiza.
 
Hamna jeshi linaloweza kupambana na Israel wewe
 
Narudia tena hamna jeshi linaloweza kupambana na Israel
 
naona mnajaribu kumuelimisha, lakini hiyo kichwa inaonekana imejaa upupu.
 
Hiyo idadi nina mashaka nayo, kuwa hao wote ni Hezbullah. Wengi wao ni raia wasio na hatia
 
Wakiuwa raia wanasema gaidi wambie watuonyeshe hao magaidi wanao sema tuone wako na bunduki kweli au ile kuvunja majumba ndio kauwa πŸ˜„

Israel auwe macommander wa Hezbullah 500 hivi mnaota au.
 
Eakouwa raia wanasema gaidi wambie watuonyeshe hao magaidi wabao sema tuone wako na bunduki kweli au ile kuvunja majumba ndio kauwa πŸ˜„

Israel auwe macommander wa Hezbullah 500 hivi mnaota au.
Kaua rais Iran atashindwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…