Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

NETANYAHU amesema kuwa "tunapenda vita kuliko chakula"
Hii kauli ni ngumu Sana
Moja ya kauli ngumu zaidi za kimedani kuwahi kutolewa katika historia ya dunia; hata maandiko hayana anywhere those words in that context - kupenda Vita kuliko chakula!

Those words will be quoted in military studies and researches many generations to come.
 
Mkuu ushabiki wa kidini hauna tija! Kama wewe ni mkristo ombea Amani mashariki ya Kati,na wala usifikiri hapo Mungu yupo katikati ya Vita hivyo! Mungu wetu ni Mungu wa Amani siyo Mungu wa Machafuko,(1Wakori.14:33)
 
Tunaiombea amani ila fahamu Wayahudi hufuata sheria za Musa, jicho kwa jicho, ukiwapiga wanapiga, wao hawajui kuombea amani.
 
Anapenda vita kuliko kufanyiwa upasuaji wa busha.
 
Tunaiombea amani ila fahamu Wayahudi hufuata sheria za Musa, jicho kwa jicho, ukiwapiga wanapiga, wao hawajui kuombea amani.
Sasa wewe kama Mkristo unashabikia nini?
Unafurahia vifo vya Wapalestina mfano mpaka kufikia sasa hivi wamekufa takribani 33,000 wengi wao wakiwa Wanawake,Watoto na Wazee! Eti kwa kuwa Wayahudi wanashika Torati?
 
Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi.
Israel inajua Iran ikijibu(Ikishambulia Israel) basi marekani/Nato lazima waingie, sasa wakiingia hao yeye hana haja ya kupeleka majeshi yake vitani. Think big mkuu
 
Sasa wewe kama Mkristo unashabikia nini?
Unafurahia vifo vya Wapalestina mfano mpaka kufikia sasa hivi wamekufa takribani 33,000 wengi wao wakiwa Wanawake,Watoto na Wazee! Eti kwa kuwa Wayahudi wanashika Torati?

Nyie mnapaswa muendelee kuchinja Wakristo ila acheni shobo na Wayahudi, mtakufa sana....wale wanafuata sheria za Musa, hawajui kugeuza uso upande wa pili ukiwapiga, wanakushukia mazima mazima na wanafyeka kila chenye pumzi.
Msingewaua au kuua watoto wao, mtapigwa sana nyie, poleni.
 
Israel inajua Iran ikijibu(Ikishambulia Israel) basi marekani/Nato lazima waingie, sasa wakiingia hao yeye hana haja ya kupeleka majeshi yake vitani. Think big mkuu

Hivi vijisababu mumekua mkivitumia sana, kwa hiyo Iran ni mnyonge wa kuendelea kupigwa tu....
 
Dah huu mtanange tunausubili kwa hamu, maana kila siku wanatunishiana misuli tu
Aliueshambuliwa balozi yake ni Iran, kiongozi wao mkuu Ayatollah akasema ata retaliate in 48hrs against Israel na hajafanya hivyo mpaka dakika hii, sasa utasemaje wanatunishiana misuli?!
 
Muisael mweusi wa Maji matitu kakasirikašŸ˜‚
 
Mimi ni Mkristo siyo Muislamu! Hakuna Mcha Mungu wa kweli anayeweza kushabikia vita! Vita vina gharimu maisha ya watu! Waisrael na Wapalestina wote mbele za Mungu ni sawa! Mungu hana upendeleo.
 
Hivi vijisababu mumekua mkivitumia sana, kwa hiyo Iran ni mnyonge wa kuendelea kupigwa tu....
Hivi kweli unaona Iran akiwapa kichapo hao Israel marekani atakaa tu bila ya kuingia?.
 
Israel inajua Iran ikijibu(Ikishambulia Israel) basi marekani/Nato lazima waingie, sasa wakiingia hao yeye hana haja ya kupele majeshi yake vitani. Think big mkuu
Nato wapi hao wako hoi kiuchumi na hawaprint pesa kama usa anavyoprint usa lazima wakusanye kodi ndo wapate hizo pesa za kwenda kumlinda usraeli
 
Vita siyo mchezo, wameweka wazi kabisa kuwa ndege zao ziko tayari kushambulia adui yoyote atakaye rusha boom ndani ya Israel, wako tayari kujilinda na kushambulia, kazi iko kwa Iran sasa.
Iran, uwezo wa akili yake umeishia kuweza kuilaghai Syria ikubali ardhi yake igeuke kuwa uwanja wa vita (front line) baina ya Israeli na Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…