Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel imeanza kuweka tayari makombora yake ya masafa marefu
WATCH:
Jericho missiles spotted headed towards southern Israel
A bit of message to the Islamic Regime.
View: https://twitter.com/Osint613/status/1775930405314834916?t=IMeEd-cmXIdvMk6VjfWqpA&s=19
Vita ipo toka Mungu anaumba dunia hii, tena ilianzia mbinguni.Mimi ni Mkristo siyo Muislamu! Hakuna Mcha Mungu wa kweli anayeweza kushabikia vita! Vita vina gharimu maisha ya watu! Waisrael na Wapalestina wote mbele za Mungu ni sawa! Mungu hana upendeleo.
Iran huyuhuyu aliyeipa taarifa Marekani kabla kwamba wapi atapiga au kuna mwingine?! Kwenye ile base kuna mwanajeshi aliyekufa?! Leta evidence sio story za kwenye kahawa, badala yake wakalipua ndege ya raia.Nyie watu hilo roket au kombora la Jeriko liliwahi wapi kuwa tishio kwa Iran au hezibola au Amerika - wapi?-mpapendasana kukuza mambo na kuiona Israeli kama mungu wa Dunia kum
sifu sifu tu, lakini walipo virumishwa na makombora ya Iran ya kushitukiza zikiwemo drones - wote mlikaa kimyaa.
Amerika yenyewe makambi yake ya jeshi mawili yaliwahi kushambuliwa na Iran, Amerika ilifanya nini kulipiza kisasi?i Iikaa kimya! Si hilo tu hata Ndege za teknollojia ya hali ya juu za kimerikani ziliwahi kutunguliwa Amerika alifanya nini moja actually ilishushwa kwa kutumia yeknolojia ya halii ya juu Iran iliyo jofunza kutoka kwa watalamu wa Urusi - Amerika ilfanya nini baada yakupoteza ndege zake za gharama kubwa
.Nyie kila siku mnatujia na propaganda za magha
aribi - sasa subirini muone Iran o
Itakacho kifanya.
Una njaa? Kanywe urojo, ukiona wanaume wanaongea vitu we piga kimya..Nyie kila siku mnatujia na propaganda za magha
aribi - sasa subirini muone Iran o
Itakacho kifanya.
Sikushangahi wewe ndiyo ulivyo, to U you the World is America, oh,one more thing - dont thik kwamba kilamtu ni average JOE kwa hiyo habari kama hizi lazima azipate kwenye vijiwe vya kuuza kahawa na MSM za magharibi or worse still tabloid zahuko huko, you gotta lot to learn hujachelewa lakini.Iran huyuhuyu aliyeipa taarifa Marekani kabla kwamba wapi atapiga au kuna mwingine?! Kwenye ile base kuna mwanajeshi aliyekufa?! Leta evidence sio story za kwenye kahawa, badala yake wakalipua ndege ya raia.
Nimekuambia ulete evidence umeanza story za kwenye kahawa.Sikushangahi wewe ndiyo ulivyo, to U you the World is America, oh,one more thing - dont thik kwamba kilamtu ni average JOE kwa hiyo habari kama hizi lazima azipate kwenye vijiwe vya kuuza kahawa na MSM za magharibi or worse still tabloid zahuko huko, you gotta lot to learn hujachelewa lakini.
nyie LGBT subirini kifillo heavy kutoka kwa wazee wa uchebe...mpk mtoke mavviIsrael iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi.
IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is taking every threat against it seriously, and that fighter jets are ready for “a variety of scenarios.”
“In the past six months, we have been in a multi-front war. We are on heightened alert in all the arenas. We are looking at the threats and foiling them all the time, on several fronts, and are at a high level of readiness for defense and offense. We are constantly carrying out assessments, and take seriously any statement and all enemies,” he says.
“We have strengthened alertness in combat units, bolstered [air] defense systems, and we have planes prepared for defense, and ready for attack,” Hagari says.
Tunarudi kule kule to U America is invicoble eti"Iran huyuhuyu aliyeipa taarifa Marekani kabla kwamba wapi atapiga au kuna mwingine?! Kwenye ile base kuna mwanajeshi aliyekufa?! Leta evidence sio story za kwenye kahawa, badala yake wakalipua ndege ya raia.
The Iranian Government has reportedly Delivered a Message to the United States via Oman which states they will not launch a Direct Retaliatory Strike against Israel, for Monday’s Airstrike on the Iranian Embassy in Damascus which resulted in the Death of 7 IRGC Officers, if a Ceasefire in the Gaza Strip is able to be reached and then Enforced.Vile vifaa siku ya 4 (masaa 96) leo bado engines zinapasha zikisubiria Ayatollah arushe "kokoto" Tel Aviv? Kaufyata!
Amen Amen mtumishi. Lakini yale magaidi yaliyoapa kumfuta Yakobo tunaamini Mungu wa Yakobo atayafuta maana Mungu wa Israeli ni Mungu wa vita pia. KUTOKA 15:3. (BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake)Mkuu ushabiki wa kidini hauna tija! Kama wewe ni mkristo ombea Amani mashariki ya Kati,na wala usifikiri hapo Mungu yupo katikati ya Vita hivyo! Mungu wetu ni Mungu wa Amani siyo Mungu wa Machafuko,(1Wakori.14:33)