Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

Nyie watu hilo roket au kombora la Jeriko liliwahi wapi kuwa tishio kwa Iran au hezibola au Amerika - wapi?-mpapendasana kukuza mambo na kuiona Israeli kama mungu wa Dunia kum
sifu sifu tu, lakini walipo virumishwa na makombora ya Iran ya kushitukiza zikiwemo drones - wote mlikaa kimyaa.

Amerika yenyewe makambi yake ya jeshi mawili yaliwahi kushambuliwa na Iran, Amerika ilifanya nini kulipiza kisasi?i Iikaa kimya! Si hilo tu hata Ndege za teknollojia ya hali ya juu za kimerikani ziliwahi kutunguliwa Amerika alifanya nini moja actually ilishushwa kwa kutumia yeknolojia ya halii ya juu Iran iliyo jofunza kutoka kwa watalamu wa Urusi - Amerika ilfanya nini baada yakupoteza ndege zake za gharama kubwa


.Nyie kila siku mnatujia na propaganda za magha
aribi - sasa subirini muone Iran o
Itakacho kifanya.
 
Mimi ni Mkristo siyo Muislamu! Hakuna Mcha Mungu wa kweli anayeweza kushabikia vita! Vita vina gharimu maisha ya watu! Waisrael na Wapalestina wote mbele za Mungu ni sawa! Mungu hana upendeleo.
Vita ipo toka Mungu anaumba dunia hii, tena ilianzia mbinguni.
Mungu huyo huyo aliwaongoza waisraeli kuwaua wafilisti.
 
Iran huyuhuyu aliyeipa taarifa Marekani kabla kwamba wapi atapiga au kuna mwingine?! Kwenye ile base kuna mwanajeshi aliyekufa?! Leta evidence sio story za kwenye kahawa, badala yake wakalipua ndege ya raia.
 
Iran huyuhuyu aliyeipa taarifa Marekani kabla kwamba wapi atapiga au kuna mwingine?! Kwenye ile base kuna mwanajeshi aliyekufa?! Leta evidence sio story za kwenye kahawa, badala yake wakalipua ndege ya raia.
Sikushangahi wewe ndiyo ulivyo, to U you the World is America, oh,one more thing - dont thik kwamba kilamtu ni average JOE kwa hiyo habari kama hizi lazima azipate kwenye vijiwe vya kuuza kahawa na MSM za magharibi or worse still tabloid zahuko huko, you gotta lot to learn hujachelewa lakini.
 
Nimekuambia ulete evidence umeanza story za kwenye kahawa.
 
nyie LGBT subirini kifillo heavy kutoka kwa wazee wa uchebe...mpk mtoke mavvi
 
Iran huyuhuyu aliyeipa taarifa Marekani kabla kwamba wapi atapiga au kuna mwingine?! Kwenye ile base kuna mwanajeshi aliyekufa?! Leta evidence sio story za kwenye kahawa, badala yake wakalipua ndege ya raia.
Tunarudi kule kule to U America is invicoble eti"
 
Vile vifaa siku ya 4 (masaa 96) leo bado engines zinapasha zikisubiria Ayatollah arushe "kokoto" Tel Aviv? Kaufyata!
 
Vile vifaa siku ya 4 (masaa 96) leo bado engines zinapasha zikisubiria Ayatollah arushe "kokoto" Tel Aviv? Kaufyata!
The Iranian Government has reportedly Delivered a Message to the United States via Oman which states they will not launch a Direct Retaliatory Strike against Israel, for Monday’s Airstrike on the Iranian Embassy in Damascus which resulted in the Death of 7 IRGC Officers, if a Ceasefire in the Gaza Strip is able to be reached and then Enforced.
 
Mkuu ushabiki wa kidini hauna tija! Kama wewe ni mkristo ombea Amani mashariki ya Kati,na wala usifikiri hapo Mungu yupo katikati ya Vita hivyo! Mungu wetu ni Mungu wa Amani siyo Mungu wa Machafuko,(1Wakori.14:33)
Amen Amen mtumishi. Lakini yale magaidi yaliyoapa kumfuta Yakobo tunaamini Mungu wa Yakobo atayafuta maana Mungu wa Israeli ni Mungu wa vita pia. KUTOKA 15:3. (BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake)
 
The Israel Defense Force has announced the beginning of a Major Exercise today in the Western Galilee Region and on the Northwestern Coast of Israel to prepare for Fighting on multiple Fronts including Southern Lebanon; the Exercise will consist of Personnel and Equipment from the IDF Northern Command, Homefront Command, Navy, Air Force, Police, Fire and Rescue Services as well as the Magen David Adom, with Active Traffic by Naval Vessels, Aircraft, and Heavy Tracked-Vehicles to be expected by Residents.
 
Lebanese Security Sources are reporting that a High-Ranking Field Commander of Hezbollah’s Elite “Radwan Force” and at least 3 other Members were Killed last night in an Israeli Airstrike against a Compound within the Town of As-Sultaniyah in Southern Lebanon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…