Israel iko smart saaana, hakuna kucheka na gaidi.Hukuelewa, wawaachie mateka ili waruhusu misaada kuingia Gaza, ila mapigano yako pale pale.
Mambo hayawezi kuisha kwa kuachia mateka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel iko smart saaana, hakuna kucheka na gaidi.Hukuelewa, wawaachie mateka ili waruhusu misaada kuingia Gaza, ila mapigano yako pale pale.
Mambo hayawezi kuisha kwa kuachia mateka.
Wapalestina wameanza kuteseka hata kabla ya Hamas haijafikiliwa kuanzishwa.Hamas wakubali wanawatesa wapalestina sana
Waarabu hawana tofauti na vibwengo, ujue vibwengo nikiwa skull viliwatisha watu bila matokeo yoyote chanya.NILIPOKUA MDOGO MIAKA YA SITINI WAKATI HUO TANGANYIKA NDIO IMEUNGANA NA ZANZBAR NILIBAHATIKA KUONA HARAKATI ZA WARAABU PALE CAIRO NA DAMASCUS WAKATI WANAJIANDAA NA KUIVAMIA ISRAEL MWAKA 1967.
KILICHONIFURAHISHA NI ZILE NYIMBO ZAO ZA KISHUJAA KWENYE MIHADHARA.
"""" TUTAFIKA TEL AVIV KESHO"""
""""HAIFA TUTAFIKA JIONI"""
"NA JERUSALEM TUTAICHUKUA ASUBUHI"
NB : KILICHOWAKUTA MPAKA LEO HIZO NYIMBO WAMEZIFUTA KWENYE KUMBUKUMBU.NITAANDIKA HUU UZI KUELEZEA MADHARA YA KUONGEA SANA BILA VITENDO ILIVYOWAGHARIMU WAARABU 1967.
SOMA wikipedia utafahamu.Mkuu hiyo historia ya mayahudi na maarabu kuhusu mikataba umeisoma wapi na sisi tupate elimu kuwahusu hao mayahudi na maarabu.
Jana, mwandishi wa Aljazera alipoteza familia wakiwemo mke, watoto wawili na mjukuu. Tena wakiwa kambini.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Sasa watoto wanaohusika Nini,si wamfuate mwenyewe wamalizane nae?alishaonywa aachane na hamas akawa mbishi ona kapoteza familia.
Wikipedia imeandaliwa na kampuni gani mkuu na mmliki wake ni raia wa nchi gani?SOMA wikipedia utafahamu.
Katika moja ya pafagrafu inasomeka hivi
In 2002, the Arab League offered recognition of Israel by Arab countries as part of the resolution of the Palestine–Israel conflict in the Arab Peace Initiative.[9] The initiative, which has been reconfirmed since, calls for normalizing relations between the Arab League and Israel, in exchange for a full withdrawal by Israel from the occupied territories (including East Jerusalem) and a "just settlement" of the Palestinian refugee problem based on UN Resolution 194.
Sasa angalia hali ilivyo huko Jerusalem.Badala ya kuondosha majeshi ndio wameongeza na wameteka maeneo muhimu yaliyobaki na kuwafungia wapalestina kwenye vizuizi baina ya familia moja na nyengine.
Mkuu hiyo habari ya american special force,s umeipata wapi na sisi tupate kuifuatilia kwa weledi zaidi?Hivi we unawamini Israel? Israel aingize jeshi Lake Gaza, labda wameota.
Ikiwa America special force walijaribu kwenda kuwaokoa matekwa walirudi wote maiti, na Israel hawezi sogeza jeshi Lake Gaza ataishia kuvunja majumba tu na kuwauwa watoto, wanawake. Wazee na badhi ya vijana wasio na hatia.
Pole sanaWalipewa masharti nafuu sana kuwa wawaachie mateka mambo yaishe,
Mkuu hivi nipe elimu kidogo,,,kabla ya warumi kuwaondoa wayahudi wale wamakabayo Jerusalem,,,,Huo mji ulikua unakaliwa na nani??SOMA wikipedia utafahamu.
Katika moja ya pafagrafu inasomeka hivi
In 2002, the Arab League offered recognition of Israel by Arab countries as part of the resolution of the Palestine–Israel conflict in the Arab Peace Initiative.[9] The initiative, which has been reconfirmed since, calls for normalizing relations between the Arab League and Israel, in exchange for a full withdrawal by Israel from the occupied territories (including East Jerusalem) and a "just settlement" of the Palestinian refugee problem based on UN Resolution 194.
Sasa angalia hali ilivyo huko Jerusalem.Badala ya kuondosha majeshi ndio wameongeza na wameteka maeneo muhimu yaliyobaki na kuwafungia wapalestina kwenye vizuizi baina ya familia moja na nyengine.
Na wayahudi mkuu hapo mashariki ya kati walianza kuteseka kabla hata hilo jina la palestina halijabuniwa na warumi mkuu.Wapalestina wameanza kuteseka hata kabla ya Hamas haijafikiliwa kuanzishwa.
Kwa hiyo ukingo wa Magharibi ambapo wapalestina wana uliwa kila siku na kunyanganywa nyumba zao na kuwapa wayahudi napo kuna Hamas?
Pole sanaWaarabu hawana tofauti na vibwengo, ujue vibwengo nikiwa skull viliwatisha watu bila matokeo yoyote chanya.
Pole sanaalishaonywa aachane na hamas akawa mbishi ona kapoteza familia.
Sasa watoto wanaohusika Nini,si wamfuate mwenyewe wamalizane nae?
Mkuu kumbe historia ya MAARABU NA MAYAHUDI umeitoa Wikipedia mkuu??SOMA wikipedia utafahamu.
Katika moja ya pafagrafu inasomeka hivi
In 2002, the Arab League offered recognition of Israel by Arab countries as part of the resolution of the Palestine–Israel conflict in the Arab Peace Initiative.[9] The initiative, which has been reconfirmed since, calls for normalizing relations between the Arab League and Israel, in exchange for a full withdrawal by Israel from the occupied territories (including East Jerusalem) and a "just settlement" of the Palestinian refugee problem based on UN Resolution 194.
Sasa angalia hali ilivyo huko Jerusalem.Badala ya kuondosha majeshi ndio wameongeza na wameteka maeneo muhimu yaliyobaki na kuwafungia wapalestina kwenye vizuizi baina ya familia moja na nyengine.
Hapo Wikipedia mkuu hiyo historia ya maarabu na mayahudi kaandika nani?Hata kama nimefika historia lazima tuisome.
Umeomba reference ukapewa, sasa leta hoja yako na wewe tuone kama iko na mashiko. Hizo nyingine ni porojo.Mkuu kumbe historia ya MAARABU NA MAYAHUDI umeitoa Wikipedia mkuu??
Nilidhani umefika huko