Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwani nipo Palestina?Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nipo Palestina?Pole sana
Anajua nilichomaanisha na amenielewa swali nililomuuliza kuhusu reference yake.Umeomba reference ukapewa, sasa leta hoja yako na wewe tuone kama iko na mashiko. Hizo nyingine ni porojo.
Wewe mbona unajadili kuhusu mateka walioshikiliwa na Hamas pamoja na historia ya Israel, ulikuwepo?
Kama unaona kitu fulani hakina usahihi, basi hauna budi kuonyesha ni kwa namna gani hakina usahihi. Na je, usahihi ni upi?Anajua nilichomaanisha na amenielewa swali nililomuuliza kuhusu reference yake.
NB:Kitu chochote kile ulimwenguni kinaweza kua source ya information au reference ila sasa je kipo sahii?
Mkuu tatizo unaleta mrengo flani wa kiimani kwenye masuala ya wekedi katika uandishi wa habari.Kama unaona kitu fulani hakina usahihi, basi hauna budi kuonyesha ni kwa namna gani hakina usahihi. Na je, usahihi ni upi?
Peace be upon you!
Zamu hii wameyakanyaga!! Acha wapewe funzo ambalo hata kizazi na kizazi wasije thubutuPk, endeleeni kula chuma kwani mnapenda damu sana
Uko israiliKwani nipo Palestina?
Pole sanaZamu hii wameyakanyaga!! Acha wapewe funzo ambalo hata kizazi na kizazi wasije thubutu
Wataanza maisha mojaZamu hii wameyakanyaga!! Acha wapewe funzo ambalo hata kizazi na kizazi wasije thubutu
Hoja zako zina utata mwingi.iwapo wameshindwa kuwatofautisha Hamas na watu wengine basi wakubali tu yaishe sio kupiga makanisa,hospitali,misikiti na bakery.Hamasi wanatumia watu/raia kama Kinga na huku wanaendeleza mashambulizi kwa Israel. Kwa njia hii suala la kudhuru raia haliepikiki. Huwezi ukatuma kombora au Bomu halafu likaenda kuchagua raia ni yupi na Hamasi ni yupi.
Wapalestina wanakosea sana kuwakumbatia hamasi ambao Wala sio Taasisi yenye wakilishi ya Wapalestina Bali kikundi Cha wahuni.Hamasi wanatumia watu/raia kama Kinga na huku wanaendeleza mashambulizi kwa Israel. Kwa njia hii suala la kudhuru raia haliepikiki. Huwezi ukatuma kombora au Bomu halafu likaenda kuchagua raia ni yupi na Hamasi ni yupi.
Wapalestina wanakosea sana kuwakumbatia hamasi ambao Wala sio Taasisi yenye wakilishi ya Wapalestina Bali kikundi Cha wahuni.
Nionavyo kuna shida kubwa katika udhaifu wa UN. Kuliwahi kuwa na mjadala wa "Two state solution" ambapo UN ingekuwa na meno ingeshinikiza, ili Palestina na Israeli waishi kama mataifa jirani, hata kwa kulazimishwa ikibidi.
Lakini UN haina uwezo wa kuwa neutral, kwa vile kuna wanaoichangia zaidi. Na wameweka uozo unaitwa kura ya VETO, ili mkubwa asipotaka kitu, kura za wote wengine hazijalishi.
Kwa mazingira haya logic haitaamua huu ugomvi bali maguvu. Ndicho kinachoendelea.
Nilijua nyigu mtakuja tuPole sana
Tupe chanzo Cha hii habari yakoHivi we unawamini Israel? Israel aingize jeshi Lake Gaza, labda wameota.
Ikiwa America special force walijaribu kwenda kuwaokoa matekwa walirudi wote maiti, na Israel hawezi sogeza jeshi Lake Gaza ataishia kuvunja majumba tu na kuwauwa watoto, wanawake. Wazee na badhi ya vijana wasio na hatia.
Pole au hongera!! Pole ni kwa magaidi wa Hamas na Wapalestina wanaoteseka kwa kuwakumbatia hao wahuniPole sana
Wewe ni gaidiKwa hiyo kipaumbele cha kuifuta Hamas kimeisha ?
Shauri yakeJana, mwandishi wa Aljazera alipoteza familia wakiwemo mke, watoto wawili na mjukuu. Tena wakiwa kambini.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwani ndio mara ya kwanza israel kuvamia gaza kwa askari wa miguu tafuta history ya nyuma walipata nn walivyovamia?Haya sasa waendelee tuone nani atakuwa mshindi.
Pole sanaPole au hongera!! Pole ni kwa magaidi wa Hamas na Wapalestina wanaoteseka kwa kuwakumbatia hao wahuni