Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehran watu wanaendelea na Morning jorging
View: https://x.com/IRIran_Military/status/1850042455606825255
Nyie wagalatia ndiyo mnaogopa kufa lakini Hamas au Hezbolllah vifo kwao ni ushindi kila mmoja anapambania taifa lake ndiyo maaana unaona wanaliwa viongozi wao ndiyo kwanza mapambano yanaendelea wewe punguani huogopi?
Hahahahahahaha tulia mwana kwaya wa sauti ya 3I thought music is haram for muslims!
We huruma umeitoa wapi ? Toka lini ukawaurumia waislamNdani ya mioyo ya baadhi ya waisilamu huwa wana roho mbaya kiasi cha kuwatakia waislamu wenzao mabaya
Yaani huko lebanoni kwa walivyokufa viongozi wengi wa kidini na makundi ya kiharifu bado unatamani vita viendelee?
Kama siyo roho mbaya ya kuwatakia wengine wafe huku wewe ukiendelea kuswali sala zote tano hapo shamaliwa ni nini?
Acheni roho mbaya, kwanza huna msaada wowote kwa wanaouliwa
Hahaa huyu anaswalia pale ndofeeNdani ya mioyo ya baadhi ya waisilamu huwa wana roho mbaya kiasi cha kuwatakia waislamu wenzao mabaya
Yaani huko lebanoni kwa walivyokufa viongozi wengi wa kidini na makundi ya kiharifu bado unatamani vita viendelee?
Kama siyo roho mbaya ya kuwatakia wengine wafe huku wewe ukiendelea kuswali sala zote tano hapo shamaliwa ni nini?
Acheni roho mbaya, kwanza huna msaada wowote kwa wanaouliwa
Maana yake ni kushindwa acha blah blah ,hata watumie luga gani haitobadilisha kua wameshindwa .Kama ameshindwa si wamfukuzie mpaka kwake wakamvamie na yeye.
Eleweni kitu kinaitwa STRATEGIC WITHDRAWAL
Wanaukumbi.
BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.
Huku ni kushindwa kwa aibu.
Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================
View: https://x.com/syed_1109084/status/1850007934580695224?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😃😃Maana yake ni kushindwa acha blah blah ,hata watumie luga gani haitobadilisha kua wameshindwa .
Nilikuwa nafatilia news ndio hizi😂😂😂 fake news from liars. No mosquito was harmed by Israhell baby strikes. All the xmas fire balls were neatly intercepted by iranian mighty domes.
Nilikuwa nafatilia news ndio hizi
قناة الميادين:
إيران: مراسل الميادين في طهران: الاعتداء الاسرائيلي المحدود فشل والدفاعات الجوية الايرانية نجحت باحباط هذا الاعتداء.
Al Mayadeen tv, Mashambulizi ya Israel kwa Iran ni madogo sana na yote yametunguliwa
مصادر للميادين: الدفاعات الجوية الإيرانية نجحت في إسقاط أهداف معادية في أجواء محيط محافظة طهران.
AL Mayadeen TV, Air defense zimefanikiwa kuangusha target kwenya anga ya Tehran na sehemu za pembeni yake
مصادر الميادين: الدفاعات الجوية نجحت في التعامل مع أهداف معادية في شرق محافظة طهران.
Al Mayaaden tv; Air defense imefanikiwa kuzitungua target za adui upande wa mashariki ya Tehran
إيران: مراسل الميادين في طهران: الدفاعات الجوية أسقطت مجدداً أهدافاً معادية شرقي محافظة طهران.
Al Mayadeen tv; Kwa mara ingine Air defense zimeangusha target za adui upande wa mashariki ya Tehran
عاجل#
إيران: مراسل الميادين في طهران: رسائل التهديد التي بعثتها إيران عبر الوسطاء نجحت في ردع الكيان الإسرائيلي بتجاوز الخطوط الحمر
Iran. Kutoka kwa correspondent wetu wa Al Mayadeen tv barua ya vitisho alio tuma Iran kwa njia ya nchi zilizo kuwa zinataka mapatanisho zimefanya mashambulizi ya Israel yasiwe yamècross red line.
📍اعلام العدو: اعتراض الصواريخ فوق طهران باستخدام نظام أسلحة صاروخية غير معروف
Israel media; Kuangushwa kwa missiles za Israel ni sababu Iran katumia Air defense hatuzijui.
📍#عاجل: لم ينجح اي صاروخ او طائرة مسيرة في الوصول الى هدفه في الهجوم الثاني على ايران.
Hakuna Missiles au Drones zimefika kwenye target.