Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa

Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa

Nyie wagalatia ndiyo mnaogopa kufa lakini Hamas au Hezbolllah vifo kwao ni ushindi kila mmoja anapambania taifa lake ndiyo maaana unaona wanaliwa viongozi wao ndiyo kwanza mapambano yanaendelea wewe punguani huogopi?
Screenshot_2024-10-26-10-07-13-546_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-23-23-00-19-608_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-24-21-30-27-414_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-25-03-53-03-268_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-23-23-07-52-155_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-21-22-29-59-585_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-21-22-20-55-853_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-08-41-52-477_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-08-16-30-415_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-04-37-53-575_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-21-04-31-37-866_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-20-10-31-39-548_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-10-18-16-31-27-978_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-18-10-41-34-688_com.instagram.android~2.jpg
 
Ndani ya mioyo ya baadhi ya waisilamu huwa wana roho mbaya kiasi cha kuwatakia waislamu wenzao mabaya

Yaani huko lebanoni kwa walivyokufa viongozi wengi wa kidini na makundi ya kiharifu bado unatamani vita viendelee?

Kama siyo roho mbaya ya kuwatakia wengine wafe huku wewe ukiendelea kuswali sala zote tano hapo shamaliwa ni nini?

Acheni roho mbaya, kwanza huna msaada wowote kwa wanaouliwa
We huruma umeitoa wapi ? Toka lini ukawaurumia waislam
Acha unafki mwanzo mlikua mnachekelea saiv unakuja na gia ya huruma
 
Ndani ya mioyo ya baadhi ya waisilamu huwa wana roho mbaya kiasi cha kuwatakia waislamu wenzao mabaya

Yaani huko lebanoni kwa walivyokufa viongozi wengi wa kidini na makundi ya kiharifu bado unatamani vita viendelee?

Kama siyo roho mbaya ya kuwatakia wengine wafe huku wewe ukiendelea kuswali sala zote tano hapo shamaliwa ni nini?

Acheni roho mbaya, kwanza huna msaada wowote kwa wanaouliwa
Hahaa huyu anaswalia pale ndofee
 
Kama ameshindwa si wamfukuzie mpaka kwake wakamvamie na yeye.

Eleweni kitu kinaitwa STRATEGIC WITHDRAWAL
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.

Huku ni kushindwa kwa aibu.

Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================

View: https://x.com/syed_1109084/status/1850007934580695224?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mazayuni ni waongo wa kutupwa. hizo ni propaganda za kivita tu.

Hii vita kinachtafutwa ni kingine kabisa, Ghaza na Lebanon ni chambo tu.
 
Maana yake ni kushindwa acha blah blah ,hata watumie luga gani haitobadilisha kua wameshindwa .
😃😃
Wamewaua viongozi wao sasa
Mbona wao wanafanya majaribio tu
 
Hapa, Tanzania kuna ushabiki wa ajabu sana kwenye hii vita ya Israel
Utashangaa watu wanatokwa na povu bila hata sababu za msingi;

1. Waislam walio wengi wana support waarabu kwa sababu wengi wao ni Waislam
2. Wakristo walio wengi wanasupport Waisraeli ambao hata sio Wakristo na wala hawamtambui Yesu

Nashauri tuendelee kuiombea amani ya Dunia aliyotupa Mungu bure kabisa, badala ya kuendelea kumkasirisha kila kukicha kwa ufisadi tunaoendelea kufanya kila kukicha.....
Nakumbusha tena:
Siku za mwisho zitakuwa ngumu, ngumu sana!
Tutengeneze mambo yetu sasa kwani uwepo wetu kesho ni majaliwa ya Mungu mwenyewe
 
😂😂😂 fake news from liars. No mosquito was harmed by Israhell baby strikes. All the xmas fire balls were neatly intercepted by iranian mighty domes.
Nilikuwa nafatilia news ndio hizi

قناة الميادين:
إيران: مراسل الميادين في طهران: الاعتداء الاسرائيلي المحدود فشل والدفاعات الجوية الايرانية نجحت باحباط هذا الاعتداء.
Al Mayadeen tv, Mashambulizi ya Israel kwa Iran ni madogo sana na yote yametunguliwa

مصادر للميادين: الدفاعات الجوية الإيرانية نجحت في إسقاط أهداف معادية في أجواء محيط محافظة طهران.
AL Mayadeen TV, Air defense zimefanikiwa kuangusha target kwenya anga ya Tehran na sehemu za pembeni yake

مصادر الميادين: الدفاعات الجوية نجحت في التعامل مع أهداف معادية في شرق محافظة طهران.

Al Mayaaden tv; Air defense imefanikiwa kuzitungua target za adui upande wa mashariki ya Tehran

إيران: مراسل الميادين في طهران: الدفاعات الجوية أسقطت مجدداً أهدافاً معادية شرقي محافظة طهران.
Al Mayadeen tv; Kwa mara ingine Air defense zimeangusha target za adui upande wa mashariki ya Tehran

عاجل#
إيران: مراسل الميادين في طهران: رسائل التهديد التي بعثتها إيران عبر الوسطاء نجحت في ردع الكيان الإسرائيلي بتجاوز الخطوط الحمر

Iran. Kutoka kwa correspondent wetu wa Al Mayadeen tv barua ya vitisho alio tuma Iran kwa njia ya nchi zilizo kuwa zinataka mapatanisho zimefanya mashambulizi ya Israel yasiwe yamècross red line.

📍اعلام العدو: اعتراض الصواريخ فوق طهران باستخدام نظام أسلحة صاروخية غير معروف
Israel media; Kuangushwa kwa missiles za Israel ni sababu Iran katumia Air defense hatuzijui.
📍#عاجل: لم ينجح اي صاروخ او طائرة مسيرة في الوصول الى هدفه في الهجوم الثاني على ايران.
Hakuna Missiles au Drones zimefika kwenye target.
 
View: https://x.com/humazhr/status/1850004228690886750?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom