Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Wewe kwanini unaitetea Israel?Zaidi ya udini wenu, mkiulizwa kwanini mnawatetea Iran au hezbollah nina uhakika hamjui 💯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwanini unaitetea Israel?Zaidi ya udini wenu, mkiulizwa kwanini mnawatetea Iran au hezbollah nina uhakika hamjui 💯
Kwamba ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa?😆😆🤣🤣Mkipigwa mnalia Lia mkiachwa mnasema wameshindwa vita sasa sijui mnataka nini
Yani kama matoto😂😂😂Kwamba ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa?😆😆🤣🤣
Hao Jamaa hawana uwezo hata Albadiri zao zimegonga Mwamba.Yani kama matoto😂😂😂
Watakua hawa jipendi kila siku kusomba maiti na majeruhi we unaweza?Wanaweza kusitisha mashambulizi lakini unajua wataondoka lini kwenye maeneo wanayo kalia!!
Unaweza kuta kusini mwa Lebanon kukabaki mikononi mwa Israel kwa miaka kadhaa.
Wew unajua kwanini unaomtetea zayuniZaidi ya udini wenu, mkiulizwa kwanini mnawatetea Iran au hezbollah nina uhakika hamjui 💯
Wanaukumbi.
BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.
Huku ni kushindwa kwa aibu.
Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================
View: https://x.com/syed_1109084/status/1850007934580695224?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waislamu wenzenu huko Michigan, jimbo lenye Waislamu wengi, wamesema poo kwa Trump. Wakiangalia muelekeo wa uchaguzi wakajisalimisha kwa Trump. Sasa vile vijamaa vyenu vinavyoimba from the river to the sea Hamas will defeat Israel, vijiandae kufungasha
View: https://x.com/disclosetv/status/1850244050533650532
Waislam hawatetereshwi na binadamu yeyote aje mpangaji wa yote na ushindi Mwenyezi Mungu tuuKobazi mungu awahurumie tuu😂😂😩, Trump kukomesha ataanza na kobazi wa Michigan kabla ya Gaza
Nini maana ya "STRATEGIC WITHDRAWAL"Kama ameshindwa si wamfukuzie mpaka kwake wakamvamie na yeye.
Eleweni kitu kinaitwa STRATEGIC WITHDRAWAL
Askari wa Israel waliouliwa jana wameuliwa na nani kama sio Hizbollah!?Hakuna walicho shindwa hao.......maana waliokuwa wanapigana nao pia ni watu wana roho na wenyewe wanakwepa na wanaumia vile vile..............ila ndio hivyo malengo yao tayari .......ilikuwa kuwaondoa viongozi wote na majenerali wa inchi ya irani ...........sasa kweupe tu kule je wabaki wanapigana na nani wale wavuta bangi au???...................na wakiendelea kurusha viguruneti vyao netanyahu najua hana masikhara na kabisa kwenye jambo la serious.......ni atabonda mapaka majengo yaishe yaani parudi zile enzi za kina farao