Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa

Wanaweza kusitisha mashambulizi lakini unajua wataondoka lini kwenye maeneo wanayo kalia!!
Unaweza kuta kusini mwa Lebanon kukabaki mikononi mwa Israel kwa miaka kadhaa.
Watakua hawa jipendi kila siku kusomba maiti na majeruhi we unaweza?
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.

Huku ni kushindwa kwa aibu.

Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================

View: https://x.com/syed_1109084/status/1850007934580695224?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waislamu wenzenu huko Michigan, jimbo lenye Waislamu wengi, wamesema poo kwa Trump. Wakiangalia muelekeo wa uchaguzi wakajisalimisha kwa Trump. Sasa vile vijamaa vyenu vinavyoimba from the river to the sea Hamas will defeat Israel, vijiandae kufungasha

View: https://x.com/disclosetv/status/1850244050533650532
 
Kobazi mungu awahurumie tuu😂😂😩, Trump kukomesha ataanza na kobazi wa Michigan kabla ya Gaza
 
Waislam hawatetereshwi na binadamu yeyote aje mpangaji wa yote na ushindi Mwenyezi Mungu tuu
 
Hakuna walicho shindwa hao.......maana waliokuwa wanapigana nao pia ni watu wana roho na wenyewe wanakwepa na wanaumia vile vile..............ila ndio hivyo malengo yao tayari .......ilikuwa kuwaondoa viongozi wote na majenerali wa inchi ya irani ...........sasa kweupe tu kule je wabaki wanapigana na nani wale wavuta bangi au???...................na wakiendelea kurusha viguruneti vyao netanyahu najua hana masikhara na kabisa kwenye jambo la serious.......ni atabonda mapaka majengo yaishe yaani parudi zile enzi za kina farao
 
Mosad......we coming wereva you are...!!!
Tunatungua tu popote milipo
😂😂🤣
 
Hakuna walicho shindwa hao.......maana waliokuwa wanapigana nao pia ni watu wana roho na wenyewe wanakwepa na wanaumia vile vile..............ila ndio hivyo malengo yao tayari .......ilikuwa kuwaondoa viongozi wote na majenerali wa inchi ya irani ...........sasa kweupe tu kule je wabaki wanapigana na nani wale wavuta bangi au???...................na wakiendelea kurusha viguruneti vyao netanyahu najua hana masikhara na kabisa kwenye jambo la serious.......ni atabonda mapaka majengo yaishe yaani parudi zile enzi za kina farao
Askari wa Israel waliouliwa jana wameuliwa na nani kama sio Hizbollah!?
Hivi huwa mnatumia nini kufikiri!?
Lengo la IDF kwenda Lebanon ni dismantling of Hizbollah armed group.
Je Hizbollah is dismantled yet!?
 
Back
Top Bottom