Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

wajuzi wa mambo tu ndo watajua Idf kama wanajua ama lah.
Mpaka ubalozi unapigwa kuna mambo mawili
1. Ni bahati mbaya kweli
2. Waliwalenga wao kwasababu zao za msingi

Sijawahi kuwa na shaka na wataalam wenye kufanya kazi kimkakakati.

Hivi vita mpaka vitakapoisha natumai lengo lao zaid ya 90% litakuwa limefikiwa
Japo
Japo
Matokeo hasi pia nayo yatakwepo mengi
 
Hizo sheria zinaruhusu adui kujificha nyuma ya kinamama na watoto?! Au inaruhusu kurusha maroketi toka mashuleni, hospital, vyuoni, makazi ya watu, ofisi za jumuiya ya kimataifa?
Namna unavyoandika ni kama mtu aliyevaa miwani ya mbao asione kabisa,yaani akili yako haiko tayari kupokea tofauti na kile ulichokariri/karirishwa!
Inatia uvivu kuanza kumuelimisha mtu wa namna hii!
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Kumbuka hajauliwa barozi kauliwa kamanda wa IRGC brigadier general Mohammed Reza Zahedi ambae yupo Syria kimkakati kuongoza vikundi vinavyo mshambulia Israel ni MTU ambae alikua ana provide Intel , strategy na siraha kwa adui hili shambulio sio la bahati mbaya ni wameifanya Makusudi
 
Hujaandika ine details, field manuals zao zikoje, rules of engagement, tacticts. In details elezea wapi wanakosea na wafanye nini?
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Toka lini jeshi linaongozwa na wafua chupi? . Vita ikishaanza lolote linaweza kutokea. Israel wakati anaingia kupiga gaza hayo unavyosema yote wameyajadili kwa upana wake na uzito unaostahiki ndiyo maana hata nani apige pale naye atapigwa pia. Hilo ni taifa la Vita na visasi.
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Siyo mara ya kwanza kwa Israel kufuata maadui kokote walipo, walishafanya Uganda tena wakishambulia Entebe airport. Huyo kamanda wa jeshi la Iran alikuwa anafanya nini huko Syria? Pia Iran alishasema anatafuta namna ya kuifuta Israel,kwa mantiki hiyo Iran alishatangaza vita.
 
Kwa nini Urusi haipigi mabomu ikulu ya Kyiv aisambaratishe ?
 
Unafananisha ubalozi na Airport wewe akili zimo kweli ?

Kweli kuna watoto na watu wajinga sana wengi humu.
 
Una point, ila siamini kuwa eti Israel kakurupuka hiyo ni calculated move....Israel siyo wajinga....muda utaongea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…