Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

Unataka kufananisha vita vya mapanga kwamba mkivamia nyumba wahifadhini wanawake na watoto na vita ya sasa ya makombora. Kwamba kombora kabla ya kulipuka liwaondoe wasio na hatia kwanza?.
Israeli anapiga makazi ya raia , waleta misaada hata wao kwa wao wanapigana risasi huko siyo kuchanganyikiwa?
 
Iran si amesema ndani ya masaa 48 atalipa kisasa mbona hayo masaa yameisha hajafanya chochote?
 
Kwa hiyo hamas inaongozwa na wanaojitambua kwenda kuteka raia wa israel na kujificha mapangoni
 
Dah ila idf banaa
Wanatindua sana huko
Hata iweje ila lengo lao litakuwa lmetimia
Wananikumbusha enzi zakina daudi na wafilisti
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Huyo kamanda alikuwa ameenda Syria kufanya nini? Kama Iran alishatangaza vita dhidi ya Israel kupitia Hezibollar, Houth na Hamas ilitegemea Israel afanyeje?
 
Unafananisha ubalozi na Airport wewe akili zimo kweli ?

Kweli kuna watoto na watu wajinga sana wengi humu
Wewe ndio huna akili, Iran alishatangaza vita na Israel, Iran alishasema anataka kuifuta Israel kwenye raman ya dunia, nchi inayotaka kukufuta huwezi kuichekea
 
Jidanganyeni tu nyinyi islamists

View: https://youtu.be/rAmUh1PbI6I?si=bLkLgjGBxYqAr8B7
 
Hujawaelewa, MI (military Intelligence) yao ipo juu sana, kule wanashambulia vyanzo hatarishi na vyenye mchango kwenye vita mama
 
Upo vizuri sana kwenye ubongo
 
Muwe mnaelewa kwanza historia.

Mnamo June mwaka 1967, Israel ilipigana vita vilivyoitwa 6day War ikipambana na Misri, Jordan, Lebanon na Iraq zote kwa mkupuo na akazigaragaza.

Ushindi alioupata ulimpatia jeuri ya kuyakalia maeneo ya Peninsula ya Sinai, west Bank na milima ya Golani chini ya Jordan kwa mabavu mpaka leo, isipokuwa kwa Sinai ilirejeshwa baada ya Misri kwenda kulialia 'Camp David'.

Israel ana mbinu za kuanzisha 'front' nyingi za kivita kwa mkupuo na akashinda na vita hii lazima ashinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…