Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.
Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?
Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?
Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu nyingi akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.
Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.
Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha naye ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada ya kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.
Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.