The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwani nani kasema kua sio kitu cha kawaida? mbona una weweseka kama umebugia tonge la moto mdomoni?Friendly fire ni kitu cha kawaida kwenye operation inayohusisha ground na air combat at once hata vita vya Iraq imetokea sana hasa kwa jeshi la Uingeleza.
Na ndio ukweli wenyewe na huo ndio mwanzo wa kuikimbia ghazaIsrael bila US ni sawa na kumpa kibogoyo karanga atafune
Wew unafanya jihad humu jf nenda gaza ukafumulie kinyeo uwahishwe aliko Osama bin laden ukapige mi.ti dada zenu(bikra 72)wanaosadikika Mudy kawaandaliaWewe kiongozi wa tawi la LGBTQ Tel aviv kwani ulitakaje? nenda kwa Papa ukabarikiwe,sasa hivi ni ruksa.
Wewe unaongea fikra zako na mahaba kinachowakimbiza ni kipigo.kwahiyo israel wamepata aibu, dah, na wakiondoka wapalestina watarudi wapi sasa? na hujui kuwa uwepo wa wanajeshi wengi kila sehemu unawapa ugumu airforce kupiga mabom?wakijua wanajeshi wao ni wachache na wapo eneo fulani tu ni rahisi kwao kurusha mabom wapendavyo kwasababu wanajua hawatawadhuru wenzao. kweli israel ashindwe vita na kusalenda kwa hamas kirahis hivyo? au si ukute hapo ni mtego au wanaenda kujiandaa kupiga upande wa kaskazini hezbollah au wameona pale hawana umuhimu wa kuwepo wanajeshi wengi kwasababu wameshamaliza kazi.
Deep sana hii watoto wadogo ambao wanaendekeza ushabiki mandazi hawati kusomeshwa historia ya Mashariki ya Kati hawawezi kufahamu.Kikosi kingine hatari zaidi cha Wapalestina kimeibuka huko Ghaza kutowa sapoti kwa Hamas.
Hicho ndiyo kikosi kilichoanzishwa zamani na bingwa wa mapigano ya kimkakati "George Habash", kinaitwa PFLP lakini kilijulikana sana kama The Black September kwa utekaji wao wa ndege nne za abiria za mataifa makubwa kwa wakati mmoja. Pia kiliwahi kuteka kijiji kizima cha Olimpiki. Kiliwashirikisha vichwa vikali kama Carlos The Jackal na Lutif Afif na mwana dada wa shoka Leila Khaled.
Kikosi hicho ni hatari sana kwa kuwa kinahusisha siyo Wapalestina tu bali watu kutoka vikundi vyote vikali vinavyotetea wanyonge duniani, vikiwemo Red Brigades wa Italy IRA ya Ireland na vikundi vingine vya Amerika kusini
Kikundi hicho ndicho kilichoibuwa miamba maarufu duniani kama Carlos The Jackal kilikuwa kimya sana miaka mingi sana, kuibuka kwake kunasadikika kuwa kipo hai na kina operate middle east nzima kimya kimya. Kuibuka kwake kunaashiria kuwa hii vita haitoishia Ghaza tu, sasa hivi wakubwa wa nchi zote za Kiarabu zinazishirikiana na mazayuni, kama Saudi Arabia, Jordan, UAE saa hizi mavi debe. Kikundi hicho huwa kinalenga zaidi kwenye shina na mizizi, siyo matawi.
Mwanzo hawakujua kama uwepo wa majeshi wengi kuna hatarisha pia uwepo waokwahiyo israel wamepata aibu, dah, na wakiondoka wapalestina watarudi wapi sasa? na hujui kuwa uwepo wa wanajeshi wengi kila sehemu unawapa ugumu airforce kupiga mabom?wakijua wanajeshi wao ni wachache na wapo eneo fulani tu ni rahisi kwao kurusha mabom wapendavyo kwasababu wanajua hawatawadhuru wenzao. kweli israel ashindwe vita na kusalenda kwa hamas kirahis hivyo? au si ukute hapo ni mtego au wanaenda kujiandaa kupiga upande wa kaskazini hezbollah au wameona pale hawana umuhimu wa kuwepo wanajeshi wengi kwasababu wameshamaliza kazi.
kama hufuatilii, juzi accidentally, wamepiga bom likauwa wanajeshi wao 20. uwe unakuwa updated sio unakaa tu huko mbagala na kuchati hapa.Mwanzo hawakujua kama uwepo wa majeshi wengi kuna hatarisha pia uwepo wao
Wamemaliza vipi kazi wakat jana tu kabla ya kuondoka rockets zilirushwa kupiga tel aviv na lengo lao moja nihili kuhakikisha hamas hawawezi tena kuipiga israhell
Au kumaliza kwako unakuongelea namna gani
Israhell kaishaanza kuikimbia ghaza nisuala la muda tu
Heheeeeee pole kijanakama hufuatilii, juzi accidentally, wamepiga bom likauwa wanajeshi wao 20. uwe unakuwa updated sio unakaa tu huko mbagala na kuchati hapa.
Wewe bikra yako uliipoteza katika mazingira gani? coz naona unawaonea wivu wenye bikra zao,Wew unafanya jihad humu jf nenda gaza ukafumulie kinyeo uwahishwe aliko Osama bin laden ukapige mi.ti dada zenu(bikra 72)wanaosadikika Mudy kawaandalia
Utakuwa una ujauzito jaribu kupima mkojo.Punguza mahaba binti, Israel wanatumia akili kubwa, kitu kinachowafanya hamjawahi kumshinda Israel toka 1946 huko nyie kutokutumia akili, yaani uislam na waislam akili ndio shida kwenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo mnakubali kucheza kila ngoma anayopiga Israel, na ndio maana hamjawahi kurudisha hata mita moja ya ardhi yenu na kile kidogo mlichobakiwa nacho kila kukicha Israel anawanyang'anya kiulaini sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Israel kutangaza tu kuondoa elites soldiers kutoka five combat brigades sio kushindwa bali ni strategic reason ok, tayari hapo waislam mnasherekea dah🤣🤣🤣🤣 wakati mwenzenu hamjuhi anachokiwaza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣