Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
BREAKING:

Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.

Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.
20240928_211342.jpg
 
BREAKING:

Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.

Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.View attachment 3109752
Kama huwezi kupambana naye, kubaliana naye. Au nasema uongo ndugu zangu.
 
BREAKING:

Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.

Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.View attachment 3109752
Msiwe mnapotosha taarifa.
Israel ili hack tower ya kuongoza ndege ya Beirut airport.
Haijadhibiti anga lote.
Na ile haikuwa ndege ya mizigo ILIKUA NI PASSENGER PLANE ndege ya abiria.
Na aliyeiamuru irudi igeuze ni waziri wa anga wa Lebanon kiusalama zaidi maana wakati huo wanakuja kushtuka kumbe IDF wame hack mfumo kwa muda.
Screenshot_2024-09-28-23-59-09-92_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Msiwe mnapotosha taarifa.
Israel ili hack tower ya kuongoza ndege ya Beirut airport.
Haijadhibiti anga lote.
Na ile haikuwa ndege ya mizigo ILIKUA NI PASSENGER PLANE ndege ya abiria.
Na aliyeiamuru irudi igeuze ni waziri wa anga wa Lebanon kiusalama zaidi maana wakati huo wanakuja kushtuka kumbe IDF wame hack mfumo kwa muda.View attachment 3109834
Naona unaweka mambo sawa
 
Hapana bana wazir kaamuru ndege isitue baada kuambiwa na Israel ikitua anailipua. So ni kweli Israel ndie anaechagua ndege ya kutua from now on
 
Kama ume-hackiwa maana yake huna uwezo wa control tena ile hacked device ...kwa hiyo kama israel wanacontrol mfumo wa anga, maana yake wanaçontrol anga...
Kwahiyo umeelezea kitu kile kile
 
Sawa
 
Iran atulie, asilete maneno, wala asipandishe bendera nyekundu, Israel kaamua na hatanii, kweli Hy ndege wangelipua bila unaishi, naamini sasa Iran wamejua na wameingia hofu juu ya Israel, hawaamini wanachokiona, Iran atulie akijichanganya Tu , utawala wa kidini utaangushwa na anatafutwa sn aingie kwenye mfumo
 
Usiongee kiwepesi hivyo we jamaa.
Lebanon sio Iran aisee.
Kama Iran kuanguka ingeangua toka miaka 40+ iliyopita.
Iran inachojizuia kuingia vitani ni uchumi tu.
Ndio maana hata Rais wao Masoud Peshkizian alisema "Iran kwasasa uchumi wake hauko salama kivita,badala yake ijijenge kidiplomasia kuondolewa vikwazo vya kiuchumi".
Iran ingekua akili mwezi mchanga kama Yemen wangeshaingia vitani.
Ila wanajipambanua kupambana kujikwamua kiuchumi ndio maana safari hii wanajiepusha sana na vita.
Ila Iran ingesema liwalo na liwe,hapo mashariki ya kati pangesimama.
USA na UK wanajua mziki wake sio poa huyo.Meli ya UK ilitekwa UK hakuna alichofanya.
 
Kama ume-hackiwa maana yake huna uwezo wa control tena ile hacked device ...kwa hiyo kama israel wanacontrol mfumo wa anga, maana yake wanaçontrol anga...
Kwahiyo umeelezea kitu kile kile
Tofautisha kudhibiti na kudukua.
Kudhibiti alikokuzungumzia mleta mada ni kwamba Israel ina FULL AUTHORITY Legally kuliendesha anga la Lebanon.
Ndio maana akasema imekataza ndege kutua.
Ilhali huo ni UONGO.
Israel ilidukua ghafla mfumo wa mawasiliano wa anga.
Inamaana wakiweza kurudisha udukuaji nyuma shughuli zinaendelea kama kawaida.
 
Hapana bana wazir kaamuru ndege isitue baada kuambiwa na Israel ikitua anailipua. So ni kweli Israel ndie anaechagua ndege ya kutua from now on
Acha ubishi bro.
Waziri aliiamuru ndege irudi kiusalama.
Na akaamuru Iran isipeleke ndege yeyote kwasasa.
Na ile ndege ilikua ya abiria.
Na hilo amelifanya baada ya kupewa taarifa mfumo wa anga umedukuliwa.
Mule kuna raia hadi wa Lebanon unahatarishaje maisha yao!?
 
Naona unaweka mambo sawa
Hawa jamaa wanaleta mambo kishabiki sana aisee bro.
Unaposema Israel anadhibiti anga inamaana toka mwanzo serikali ya Lebanon taarifa wanayo kwamba anga linadhibitiwa na Israel.
Ila kilichotokea mchana kuelekea jioni ghafla tower ya kuongoza ndege imedukuliwa kimawasiliano.
Kama satellite yao ilipodukuliwa na kutuma ujumbe katika simu raia wahame kwenda Kaskazini.
 
Back
Top Bottom