Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ndiyo UkweliKama huwezi kupambana naye, kubaliana naye. Au nasema uongo ndugu zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo UkweliKama huwezi kupambana naye, kubaliana naye. Au nasema uongo ndugu zangu.
Sasa kama kaudukua mfumo nani anaucontrol jombaaAcha ubishi bro.
Waziri aliiamuru ndege irudi kiusalama.
Na akaamuru Iran isipeleke ndege yeyote kwasasa.
Na ile ndege ilikua ya abiria.
Na hilo amelifanya baada ya kupewa taarifa mfumo wa anga umedunguliwa.
Mule kuna raia hadi wa Lebanon unahatarishaje maisha yao!?
Anaudhibiti kwa muda.Sasa kama kaudukua mfumo nani anaucontrol jombaa
Kwahiyo umekubali wanamiliki anga lao kwasasa sio?Anaudhibiti kwa muda.
Wakiweza kutengua udukuaji kila kitu kitarudi mikononi mwao.
Kumiliki kauli nyingine hiyo bro.Kwahiyo umekubali wanamiliki anga lao kwasasa sio?
Bro mbona unarud kule kule. Kwahiyo umekubali kwasasa anga lote la Lebanon linadhibitiwa na Israel sio.Kumiliki kauli nyingine hiyo bro.
Sema wana udhibiti wa muda.
Kumiliki inamaana ndio bye bye.
Mtoto akililia wembe mpe umkate alieBREAKING:
Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.
Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.View attachment 3109752
All the best 🇮🇱BREAKING:

Watakubishia kobasIsrael another level nimegundua kwa nini USA anamuheshimu uyu mtu ni hatar sana, yaani anaweza kumpiga hata Putin akiwa anaoga bafuni ndomaana Russian president aliwaambia Iran wasiende kwenye vita na Israel fully combat waende kupitia magaidi.................
Israel kumiliki anga lako kwao ni kitu kidogo sana, kuhack mfumo wa vyom vyako wa Umeme kama vile pasi,simu,remort,tv,gar,deli,redio,Azam kisimbuz n.k hawa jamaa popote kokote wanalianzisha aiseeee, Mwarabu haamini anachokiona.......
Na hapo hawajapandisha mzimu ya King David wanatumia mzimu ya brotherman king Sulemani wakichanganya na King Saul mtu mbad......
Si kweli hata kidogo.Hezbolah ni wapiganaji ngangari sana.Hezbolah siyo Hamas.Mazayuni watakiona cha mtema kuni.(maneno kutoka kwa Webabu)🤣🤣🤣🤣🙏Mh Lebanon mbona kaingia cha kike.
Huu ni urongo.Nimemsikia Covax akilalamika.Israel another level nimegundua kwa nini USA anamuheshimu uyu mtu ni hatar sana, yaani anaweza kumpiga hata Putin akiwa anaoga bafuni ndomaana Russian president aliwaambia Iran wasiende kwenye vita na Israel fully combat waende kupitia magaidi.................
Israel kumiliki anga lako kwao ni kitu kidogo sana, kuhack mfumo wa vyom vyako wa Umeme kama vile pasi,simu,remort,tv,gar,deli,redio,Azam kisimbuz n.k hawa jamaa popote kokote wanalianzisha aiseeee, Mwarabu haamini anachokiona.......
Na hapo hawajapandisha mzimu ya King David wanatumia mzimu ya brotherman king Sulemani wakichanganya na King Saul mtu mbad......
Mazayuni ni maongo.Uongo mkuu?Anaudhibiti kwa muda.
Wakiweza kutengua udukuaji kila kitu kitarudi mikononi mwao.
Ona hili jamaa!Mazayuni ni maongo.Uongo mkuu?
Tumekubaliana kama mazayuni ni maongo mkuu?Naandaliwa uji wa dona nikate hangover!😂😂😂Ona hili jamaa!
Umekunywa supu kukata hangover mkuu??
🙌🙌🙌Tumekubaliana kama mazayuni ni maongo mkuu?Naandaliwa uji wa dona nikate hangover!😂😂😂
Karibu tukate hangover kwa supu ya kabeji mkuu.Muda huu naangalia Al jazeera ya kiinglishi ndugu zangu katika imani wanavyopokea mkong'onto kutoka kwa mazayuni.🤣🤣🤣🤣
Sisi huwa tunapendelea kuwaita mazayuni. 🤔GOD bless Israel
Eti nasikia Hasani wa hizibulaa amefariki..Msiwe mnapotosha taarifa.
Israel ili hack tower ya kuongoza ndege ya Beirut airport.
Haijadhibiti anga lote.
Na ile haikuwa ndege ya mizigo ILIKUA NI PASSENGER PLANE ndege ya abiria.
Na aliyeiamuru irudi igeuze ni waziri wa anga wa Lebanon kiusalama zaidi maana wakati huo wanakuja kushtuka kumbe IDF wame hack mfumo kwa muda.View attachment 3109834