Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

Allah ndo nini?
بَدِيعُ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ ۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُۥ وَلَدٌۭ وَلَمْ تَكُن لَّهُۥ صَـٰحِبَةٌۭ ۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَىْءٍۢ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيمٌۭ ١٠١
 
Karibu tukate hangover kwa supu ya kabeji mkuu.Muda huu naangalia Al jazeera ya kiinglishi ndugu zangu katika imani wanavyopokea mkong'onto kutoka kwa mazayuni.🤣🤣🤣🤣
Unakata hangover kwa supu ya mchicha!?
Aiseee ndio maana mkuu upo out of your sanity.
Piga supu ya mkia au kongoro.
Usije ukaanguka tukakuokota.
*Kutesa kwa zamu.
 
Unakata hangover kwa supu ya mchicha!?
Aiseee ndio maana mkuu upo out of your sanity.
Piga supu ya mkia au kongoro.
Usije ukaanguka tukakuokota.
*Kutesa kwa zamu.
Wewe ndiye umeishiwa kabisa!Mkia wa au kongoro?Yani nilipe hela kununua ngozi ya ng'ombe?Hiyo ibiwa wewe.Mimi nimekataa.Bora nipate supu ya bamia tu.
 
Anga yao wameshindwa kuzuia, missile na drones zinaingia kila siku.
 
Wewe ndiye umeishiwa kabisa!Mkia wa au kongoro?Yani nilipe hela kununua ngozi ya ng'ombe?Hiyo ibiwa wewe.Mimi nimekataa.Bora nipate supu ya bamia tu.
Aiseee😂😂😂😂 kama shem yupo mbali atakuta msiba home.
Mkia wa ng'ombe una nyama tamu sana na una virutubishi vingi vya kukata mkojo wa firauni.
Kongoro ndio kabisa.
🙌🙌🙌🙌Bisha umfuate Ismail Haniyeh alipo.
 
Aiseee😂😂😂😂 kama shem yupo mbali atakuta msiba home.
Mkia wa ng'ombe una nyama tamu sana na una virutubishi vingi vya kukata mkojo wa firauni.
Kongoro ndio kabisa.
🙌🙌🙌🙌Bisha umfuate Ismail Haniyeh alipo.
Mimi rastafari nakula majani tu.
 
Back
Top Bottom