PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kama huwezi kupambana naye, kubaliana naye. Au nasema uongo ndugu zangu.BREAKING:
Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.
Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.View attachment 3109752
Msiwe mnapotosha taarifa.BREAKING:
Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.
Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.View attachment 3109752
Naona unaweka mambo sawaMsiwe mnapotosha taarifa.
Israel ili hack tower ya kuongoza ndege ya Beirut airport.
Haijadhibiti anga lote.
Na ile haikuwa ndege ya mizigo ILIKUA NI PASSENGER PLANE ndege ya abiria.
Na aliyeiamuru irudi igeuze ni waziri wa anga wa Lebanon kiusalama zaidi maana wakati huo wanakuja kushtuka kumbe IDF wame hack mfumo kwa muda.View attachment 3109834
Sio wazazi wako mwamba, wewe na Israil tuu.. Hassan ni shahidi kifo chake hajutii amekufa akitetea wanaodhulmiwa wewe hujui utafia wapi mambo ya umauti ni siri bro.God bless Israel
hahahahaaaa kweli sisi tumefurahia saaaaana kifo cha Hassan. viva Israel!!!!!!!Sio wazazi wako mwamba, wewe na Israil tuu.. Hassan ni shahidi kifo chake hajutii amekufa akitetea wanaodhulmiwa wewe hujui utafia wapi mambo ya umauti ni siri bro.
Hapana bana wazir kaamuru ndege isitue baada kuambiwa na Israel ikitua anailipua. So ni kweli Israel ndie anaechagua ndege ya kutua from now onMsiwe mnapotosha taarifa.
Israel ili hack tower ya kuongoza ndege ya Beirut airport.
Haijadhibiti anga lote.
Na ile haikuwa ndege ya mizigo ILIKUA NI PASSENGER PLANE ndege ya abiria.
Na aliyeiamuru irudi igeuze ni waziri wa anga wa Lebanon kiusalama zaidi maana wakati huo wanakuja kushtuka kumbe IDF wame hack mfumo kwa muda.View attachment 3109834
Kama ume-hackiwa maana yake huna uwezo wa control tena ile hacked device ...kwa hiyo kama israel wanacontrol mfumo wa anga, maana yake wanaçontrol anga...Msiwe mnapotosha taarifa.
Israel ili hack tower ya kuongoza ndege ya Beirut airport.
Haijadhibiti anga lote.
Na ile haikuwa ndege ya mizigo ILIKUA NI PASSENGER PLANE ndege ya abiria.
Na aliyeiamuru irudi igeuze ni waziri wa anga wa Lebanon kiusalama zaidi maana wakati huo wanakuja kushtuka kumbe IDF wame hack mfumo kwa muda.View attachment 3109834
SawaMsiwe mnapotosha taarifa.

SAFI SANABREAKING:
Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.
Israel haitaruhusu silaha za IRGC kuingia Lebanon.View attachment 3109752
Huyo gaidi amekufa na damu za maelfu wasiokua na hatiaSio wazazi wako mwamba, wewe na Israil tuu.. Hassan ni shahidi kifo chake hajutii amekufa akitetea wanaodhulmiwa wewe hujui utafia wapi mambo ya umauti ni siri bro.
Usiongee kiwepesi hivyo we jamaa.Iran atulie, asilete maneno, wala asipandishe bendera nyekundu, Israel kaamua na hatanii, kweli Hy ndege wangelipua bila unaishi, naamini sasa Iran wamejua na wameingia hofu juu ya Israel, hawaamini wanachokiona, Iran atulie akijichanganya Tu , utawala wa kidini utaangushwa na anatafutwa sn aingie kwenye mfumo
Tofautisha kudhibiti na kudukua.Kama ume-hackiwa maana yake huna uwezo wa control tena ile hacked device ...kwa hiyo kama israel wanacontrol mfumo wa anga, maana yake wanaçontrol anga...
Kwahiyo umeelezea kitu kile kile
Acha ubishi bro.Hapana bana wazir kaamuru ndege isitue baada kuambiwa na Israel ikitua anailipua. So ni kweli Israel ndie anaechagua ndege ya kutua from now on
Hawa jamaa wanaleta mambo kishabiki sana aisee bro.Naona unaweka mambo sawa