Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Makundi ya waasi ya congo wanasiraha za KAWAIDA tuu mkuu.
Kama m23 watakua na
Ni AK-47 , LMG PKP, RPG, Labda na Heavy mashine gun kama Dshk au type w85 heavy machine gun, kama wanazo, maana heavy machine gun ni bunduki mzito hata kuzibeba japo sina UHAKIKA maana ni watu wa kuhamahama, na wanazidiwa sana tuu MAPIGANO na kukimbilia polini.
SIDHANI kama wanasiraha zaidi ya hizo. Hila watu wa HUMU ndani wanawapamba hatari,
Jeshi la ya congo kushindwa kupigana NAO ni madhaifu tuu ya kwao huko.
 
Vijana wa M23 wameshaanza mapambano toka jana, huku jeshi la Kenya likijificha nyuma ya migongo ya jeshi la Congo kuangalia kinachojiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Vijana wa M23 wameshaanza mapambano toka jana, huku jeshi la Kenya likijificha nyuma ya migongo ya jeshi la Congo kuangalia kinachojiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Kila siku ni lazima nione airlifter za Kenya Airforce zikiingia DRC. Hata dakika hii nimechungulia haraka kutafuta flights za kutia mashaka nimeona hii Leonardo inaenda Goma. Tuwape muda Kenya, hawana mpaka wa ardhini na Congo
 
Tumeshaongea sana, KDF wanaanza lini kupigana? Kagame anasema mnafikiri wao ni migomba mifupi! Anasubiri kombora la kwanza msilale [emoji1787]
 
Aisee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Wakongo wakiamua leo kwenda kuwakamata Fdlr na kuwanyang'anya silaha na kuwarudisha kwao Rwanda huu mgogoro unakwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…