Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Huwa siwaelewi watu humu kulinganisha uwezo wa nchi dhidi ya nchi kwa kulinganisha performance ya nchi dhidi ya waasi.

Uturuki hii hapa ina makundi ya kigaidi kama YPG na PKK ila huwezi taja jeshi lolote la Afrika linaloweza ipiga Uturuki na Uturuki imeshindwa kuyamaliza hayo makundi.
Israel ina makundi hasimu kama Hezbollah na Hamas haijawahi wamaliza ila huwezi sema inazidiwa na labda Greece au Jordan kisa hazipambani na makundi ya wahuni.
Russia hii imewapiga ISIS na waasi wengine ila miezi zaidi ya tisa haijamalizana na Ukraine ambayo waasi wa Donetsk na Luhansk waliishinda.
Uwezo wa jeshi dhidi ya jeshi haupimwi tu kwa performance dhidi ya kundi la waasi. Kuna sababu nyingine tofauti.

Ukitazama defense procurement ya majeshi ya West Africa kama Chad na Mali miaka ya siku hizi unaona kabisa ni anti terror weapons ndio wananunua. Nigeria hao kwenye budget ya 2023 Buhari ashasaini Army ipewe fixed wing aircrafts pamoja na kwamba Air Force yao ilipinga vikali sanaView attachment 2429213
Hii ni bada ya kuona Air Force ina ndege nzito kama JF-17 ambazo ni unnecessary na zina high cost of maintenance na pia coordination inachelewa.

Wale washagundua huwezi pigana na gaidi kwa vifaru na masilaha mazito sana. M23 hawana air base au meli au kambi yenye majengo eti ndio ukapige hivyo unahitaji silaha nyepesi zinazobebeka kupigana nao. Silaha zinazotumika na mbinu kwao ni tofauti sana na zitakazotumika ukiambiwa kutoka Ngome andaa shambulizi kwenye bandari ya Mombasa kuharibu meli inayoshusha silaha.

Marekani imelazimika kutengeneza ndege nyingine ya ground attack inayotumia teknolojia waliyotumia mwisho vita ya pili ya dunia. Wanatengeneza Sky Warden, wameona ni gharama kubwa kutumia A-10 Warthog sijui F-16 kwenda kupiga kibanda cha mbao cha gaidi jangwani.

M23 au waasi hapo DRC hakuna mwenye MANPADS, hakuna anti tank rifles wala missiles, hakuna heavy machine guns sanasana utakuta waliambulia kuiba PKP Pecheneng chache ndio wanajidai nazo. Utawaona na RPG chache, yani wako local sasa ukiwatumia kama mlinganyo wa uwezo wa jeshi dhidi ya jeshi utajidanganya.

Counter terrorism na counter insurgency ni tofauti mno na high intensity warfare ambapo unakutanisha peer to peer enemies. Kama mtu hataki na hapa basi aendelee na uzalendo feki ila uzalendo na kujitoa mhanga kwa Wajapani WW2 hakukufua dafu mbele ya uhalisia wa Marekani.
Makundi ya waasi ya congo wanasiraha za KAWAIDA tuu mkuu.
Kama m23 watakua na
Ni AK-47 , LMG PKP, RPG, Labda na Heavy mashine gun kama Dshk au type w85 heavy machine gun, kama wanazo, maana heavy machine gun ni bunduki mzito hata kuzibeba japo sina UHAKIKA maana ni watu wa kuhamahama, na wanazidiwa sana tuu MAPIGANO na kukimbilia polini.
SIDHANI kama wanasiraha zaidi ya hizo. Hila watu wa HUMU ndani wanawapamba hatari,
Jeshi la ya congo kushindwa kupigana NAO ni madhaifu tuu ya kwao huko.
 
Wakati Watanzania mnaendelea na ushabiki wenu, haya hapa ndio maisha ya hao majirani DRC

gender.jpg
 
Hao wanaoisema KDF hawajui JW ilipigwa ambush hapo Congo na tukapata vifo vya wanajeshi wetu. Au tarehe 15 hapo Mozambique si tulipigwa ambush JW wakakimbia. Nimesoma huu uzi mwanzo nikaona nisichangie, wanaichukulia KDF kama jeshi la Burundi sijui.

Na ingetokea KDF waende wenyewe tu au waende na South Africa na Malawi kama sisi ili kuwe na fair comparison. KDF wako vizuri kuanzia kwenye silaha, mafunzo na teknolojia, hata maonyesho yao siku ya uhuru yalinganishe na East African countries.
Hawa hapa wako na hand launched drones kufanya reconnaissance kwenye mission hiyoView attachment 2428719
Vijana wa M23 wameshaanza mapambano toka jana, huku jeshi la Kenya likijificha nyuma ya migongo ya jeshi la Congo kuangalia kinachojiri 😂😂🤣🤣
 
Vijana wa M23 wameshaanza mapambano toka jana, huku jeshi la Kenya likijificha nyuma ya migongo ya jeshi la Congo kuangalia kinachojiri 😂😂🤣🤣
Kila siku ni lazima nione airlifter za Kenya Airforce zikiingia DRC. Hata dakika hii nimechungulia haraka kutafuta flights za kutia mashaka nimeona hii Leonardo inaenda Goma. Tuwape muda Kenya, hawana mpaka wa ardhini na Congo
IMG_20221202_090855.jpg
 
Tumeshaongea sana, KDF wanaanza lini kupigana? Kagame anasema mnafikiri wao ni migomba mifupi! Anasubiri kombora la kwanza msilale [emoji1787]
 
😄😄 Hata Ruto alivyoingia madarakani wacongo walisema wakalenjini Ni watusi waliohamia Kenya zamani 😄😄, wanajeshi wa Congo nao walipoenda Congo picha zao zikawa zinasambazwa huko Twitter zikisema jeshi la Kenya limejaa Watusi 😄😄.

Mimi Kiufupi naonaga wacongo Ni Kama mataahira flani hivi,kwa Maana ya Kwamba madishi Yao hua kama yameyumba hivi, hawanaga uwezo wa kufikiria sawasawa na kua objective.
Aisee 😆😆😆😆 Wakongo wakiamua leo kwenda kuwakamata Fdlr na kuwanyang'anya silaha na kuwarudisha kwao Rwanda huu mgogoro unakwisha.
 
Back
Top Bottom