Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Labda madini,na misitu yenye kuzalisha magogo yanayotumika huko kunakoitwa dunia ya kwanza yaishe ndyo hata mgambo wanaweza kuwatoa hao M23
 
Kama hilo Jeshi kuna Uganda hakuna watakachofanikiwa.

Ndani ya jeshi la Uganda hao tutsi wamejaa na information zote lazima zifike kwa baba yao.
Hvyo hvyo namim nimeweza haiwezekano katu Hilo likafanikiwa ikiwatu jeshi la Uganda limo ndani ya operation hyo ,kwanin tunasema hvyo Ni kwamba wale waasi wa m23 wanna vinasaba kbsa na jsehi la Uganda Ni ngumu sna hyo Operation kufanikiwa kwani limejah mamluki wengi ktk jeshi Hilo hvyo Kenya wategemee kupokeaa maiti nyingi mno watako dedishwa na wanajeshi wa Uganda
 
Serikali ya Congo ilikakaa kushirikiana na Rwanda, lakini imekubali kushirikiana na Uganda. Sasa sijui Tshisekedi hajui kuwa Rwanda na Uganda ni kama vile Tanganyika na Zanzibar kwamba ni nchi moja tofauti kila upande ina mtawala wake.
Ilinishangaza San hilo
 
Hvyo hvyo namim nimeweza haiwezekano katu Hilo likafanikiwa ikiwatu jeshi la Uganda limo ndani ya operation hyo ,kwanin tunasema hvyo Ni kwamba wale waasi wa m23 wanna vinasaba kbsa na jsehi la Uganda Ni ngumu sna hyo Operation kufanikiwa kwani limejah mamluki wengi ktk jeshi Hilo hvyo Kenya wategemee kupokeaa maiti nyingi mno watako dedishwa na wanajeshi wa Uganda
Muhozi ameshatoa onyo kwa Kenya, sasa ngoja tusubiri kuona kitachotokea huko Congo.
 
M23 sio wepesi kama unavyofikiria. Hao vijana 3000 nafikiri wataelekezwa wakapambane na yale makundi ya wahutu waliokimbia Rwanda. Ila kwa M23 hakuna kijana atakaekuwa tayari kuweka pua yake mbele yao.
Hao unaowasifia wameshaanza kula kipondo kitakatifu wanalainishwa kwanza kwa mabomu ya angani
 
Pia tulienda Congo tukafanya oparation ya muda mfupi ambayo ilileta matokeo mazuri kwa jeshi letu.

Sasa ni muda wa kuwaachia na wengine nao wafanye yale tuliyoyafanya, ikishindikana dakika za mwisho watatuita tukasafishe pori.
Usisahau tulikwenda kuokoa kisiwa kimoja huko karibu na Mtwara
 
Vipi mziki ndo umeshaanza au?
Muda uliopangwa kwa waasi kujisalimisha umeshaisha jana, lakini waasi wa M23 wamekataa katakata kujisalimisha wao wala silaha zao.

Cha kushangaza mpaka sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na jeshi hilo la Afrika Mashariki linaloongozwa na Kenya dhidi ya waasi hao.
 
Vipi tayari bm zishaanza kuunguruma nini?
Mpaka sasa M23 wametulia katika ngome zao wanakunywa, kula na kufurahia maisha, hakuna jeshi la Kenya, Burundi wala Uganda lililoenda kuwabughudhi.

Angalau kidogo jeshi la Congo limekuwa likijaribu kufanya ambush fupi za hapa na pale.
 
Hao unaowasifia wameshaanza kula kipondo kitakatifu wanalainishwa kwanza kwa mabomu ya angani
Hizo habari ni za muda mrefu, na yale mabom ya angani hayajaleta ahueni yoyote kwa jeshi la Congo maana maeneo yaliotekwa na M23 bado yanakaliwa na waasi hao.
 
Back
Top Bottom