Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Juan Manuel & Furushi la Chanjo mmejaa sana upepo, inaonekana ni mapunga na wote ni ID ya Mtu mmoja.Halafu hata huko jeshini kuna mapunga kibao tu mimi nawajua.
Huyu afande anatafuta namna ya kuficha udhaifu wa uwezo wa jeshi katika uokoaji.
Juzi wameamrishwa kuzima moto Kilimanjaro wakabaki wanazunguka na mabuti tu hakuna wanalofanya.
Sasa kapata chaka la ushoga la kujifichamo. Kwamba na yeye ni rijali.
Afande afanye kazi. Aache kujificha kwenye ushoga na visingizio.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushoga umekuponza jkt umekataliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Juan Manuel & Furushi la Chanjo mmejaa sana upepo, inaonekana ni mapunga na wote ni ID ya Mtu mmoj.
Poleni sana, hii ndiyo dunia.
Angesema tu hawana sifa kusema wanajihusisha na vitendo vya ushoga si busara.Mkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa me na ww nani shoga!!??
Me nataka nikupe msaada usiendelee kuingiliwa kinyume na maumbile, maana hali kwako imekuwa mbaya mpaka unajidhihilisha hadharani
[emoji1784]Kazi yetu sisi ni kuwatetea nyie mabwabwa ili msionewe na watu wajinga wajinga wanaotaka kuchukua ujiko na kuficha udhaifu wao kwa kuwadhihaki wengine.
Na hapa ishu sio tu kuwatetea nyie mabwabwa, lakini ishu ya msingi ni kusimamia kanuni za utu kwa watu wote bila kujali kama ni mabwabwa au wafiraji.
Kumuita mtu shoga kwa sababu tu mwili wake ni dhaifu si sawa na haitakiwi. Hiyo ni kanuni ya utu.
Kama unaona hana vigezo vya jeshi, aondolewe kwa staha — usimtusi au kumuingizia vidole mkunduni eti "unampima ushoga". Huo ni ukichaa.
Umeelewa uzi lakini? Acha kutetea ushenziSitetei ushoga ila hii nchi ina watu wenye imani za hovyohovyo sana.
Mwanasiasa anajiona na yeye ni daktari.
Kuna wengine masikini wana matatizo ya bawasiri, ikitokea kwenye ukaguzi kama huo iwe ni jeshini au jela na yeye moja kwa moja anaingizwa kwenye hilo fungu la mashoga.
[emoji28]Wamepimwa kitaalamu na ikathibitika kuwa ni mashoga kwahyo wamejidhalilisha wenyew mana jeshini hakuna huo ufirauni
Kama unaona wameonewa watafute ukawatee kwa mkuu wa majeshi ndo ntajua kweli mnazijua hizo haki za binadamu
Kwanza hao walitakiwa wapigwe risasi kabisa sio tu kuwarudisha kwao wanaenda kuharibu wengine
Mataaira sana mawatu hayo, yanajifarijigi hapa jukwaani na wapumbavu wenzao kwa kichaka cha "HAKI SAWA" haki sawa ya konyo [emoji35]sasa kama walijijua kwamba wao mchele mchele walienda jeshini kufanyaje
Acha uongo hao vijana wanaishi Singida wako chini ya serikali ya ccm hawaishi mtaa wa Ufipa kama unavyotaka kutuaminisha.Haya sasa yametimia, niliwaambia hapa vijana wa ufipa sio riziki.
P2 wanazotumia Ke wa siku hizi zimewekewa vichocheo vya hormones imbalances kwa Ke ikiwa wataacha tu kutumia, wakishika ujauzito tayari watoto wa kiume wataowazaa watakuwa na vinasaba vya ushoga.Gay are born just like leaders not made, kweli mtu mla papuchi ataenda tu akainamishwe ? ,Mwanaume kamili akifika age ya 15+ anaanza kuwa busy na papuchi
Uvccm hao so ndio wanapeana ajira kwenye majeshi yetu mtamsingizia nani sasaMkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga.
Kijana mmoja alioneka akikimbia kwa kukata viuno na jinsi alivyokuwa akiweka mikono na vidole vyake ikaweka hali ya kutiliwa mashaka kuwa huenda anajihusisha na vitendo vya ushoga, alisema Kamanda Kanali wa JKT.
View attachment 2410072
Una washwa sana aisee.Haya sasa yametimia, niliwaambia hapa vijana wa ufipa sio riziki.
Ukiwa unakula kande na hunywi maji ya kutosha,kimba litakua gumu na litatanua njia,siyo kipimo sahihiInama halafu kohoa "Kohoooo"
Pakitanuka tu dogo Rudi kwenu jeshi linataka marijali wakakamavu.
Hz tuhuma mbona nzitoNinawajua wanajeshi mashoga watatu kutoka TPDF.
Hao walipitaje?
Na hapa wanasiasa huwa wanachukua credit za kutosha.Nchi ya mataahira hii , sasa hii nayo ni mada na wapumbavu wanapoteza muda huku kujadili huu ujinga eti ,aisee
Tz ina vitu vya muhimu ambavyo vinaweza kujadiliwa kwa mustakabali wa nchi ,si kukaa mnajadili makalio na njia za haja kubwa ,au na nyie mnataka mshikishwe ukuta ? Maana inaonekana mnawaonea wivu hao mashoga
Ndio maana huwa namuamini aliyesema Tz asilimia 80 watu wana mtindio wa ubongo , idiots and retards kabisa.Na hapa wanasiasa huwa wanachukua credit za kutosha.
Wanawarushia mifupa mnabaki kubamizana kwa malumbano ya ajabu ajabu, huku wao wanazidi kutafuna minofu ya nchi.
Sijaona uhaba wa maji ukizua mjadala mpana wa watu kuonesha hawajaridhishwa au kukasirishwa.
Wako bize wanashangilia mipira na ujinga ujinga.
Na ukitaka uwakoge zaidi, wawekee mada za ushoga na kunyanduana. Hapo watakesha wanajadili na kutoa hisia zao za dhati.
Spinning is efficient. Unawarushia fupa majibwa yanaanza kuumana tu huku unapeta.
Duh. Kumbe ndo inavyokuwa?Inama halafu kohoa "Kohoooo"
Pakitanuka tu dogo Rudi kwenu jeshi linataka marijali wakakamavu.