Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Ubarikiwe
 
Vijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .

Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wamehukumiwa kimakosa kutokana na ulemavu au shida zao za kuzaliwa nazo.
Kipimo cha ushoga hakiwezi kuwa 'gait abnormalities' huyo Kanali amesomea udaktari wapi?
Vijana wanatakiwa wamfungulie mashitaka kwa kuwachafua na kuwanyanyapaa walemavu.
 
Kama walikuwa na ugonjwa wa bawasiri na wewe umewaita mashoga,ninaomba Mungu akupige hadi siku moja urudi hapa na kwenye media zote kuomba radhi.

Upigwe na bawasiri na usipone hadi uje uombe msamaha hapa.

Wanaofurahia ulichoandika wapigwe na ugonjwa huu hadi waje kuomba msamaha hapa.
Uzi wako unajaribu kulipromote tatizo hilo ili tuone watu wengi wameathirika lakini mimi nakataa na ninaenda kinyume na ushetani huu unaojaribu kuutangaza kwa jina la Yesu.

Mungu na ashughulike na wewe iwapo huu ni uzushi wa maksudi
 
Wewe nawe nishoga! Bawasili haihusiani
 
Na mimi nimeshangaa! Yaani mwanaume akikimbia kwa kukata mauno tayari ni shoga!

Si nasikia kuna wanaume mabaunsa lakini ni mashoga!

Kwani ushoga ni tabia au ni mwonekano?
 
Hatukuonei wivu mkuu ni habari tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…