spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Drill za kijeshi lazima afe shoga ndo mana hawatakiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]Walipimwa utimamu wa afya ya mwili [emoji16]
Ila kuna mmoja walimgundua namna anavyokimbia kama Raheem Sterling, wakajua huyu tayari kashapapaswa uwemba kitambo
Ukaguzi wa jeshini mkuu siyo wa kitoto.........Walithibitisha Vipi sasa???[emoji848][emoji848]
Kwa zile drill, daily atakuwa anashusha vitu mzee.Drill za kijeshi lazima afe shoga ndo mana hawatakiwi
Sio lazima acha kujiendekezaHii dunia tulipofikia ni kwamba kama hufanyi basi lazma utafanywa
Sio kujiendekeza ni watu wanaamua kuishi maisha yao,na kwakua wameshakuwa wengi lazma wanaizonga jamiiSio lazima acha kujiendekeza
Naimajini huyo mkagua rindaz😁😁😁😁! Sipati pichaaa😄😄
Sio kila anayerudushwa shida ni hio wengine wana shida nyingine za kiafyaKuna dogo sisi alirudishwa hakuambiwa shida yake nini hadi leo hii hatujui niji kilimrudisha
Haya wale watetezi waende Kwa kanali na mkuu was wilayaUkiniambia kati ya kuwa na mshoga wengi na utawala wa ccm,nichsgue moja,Bora nchi iwe na mashoga wengi,kuliko kuwa na ccm hapa nchini,sana sana huyo mama yao,anayetembea amerembua macho
Hii idadi imenifikirisha sana, huenda idadi ni kubwa sana na waliogundulika ni wale dizaini za James delicious, Kuna wale akina nanihiii hawaonesha dalili za wazi nao wakapenya.Vijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .
Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Kumbe wewe nawe ni shoga?Ukiniambia kati ya kuwa na mshoga wengi na utawala wa ccm,nichsgue moja,Bora nchi iwe na mashoga wengi,kuliko kuwa na ccm hapa nchini,sana sana huyo mama yao,anayetembea amerembua macho
Mkuu unaujua vizuri ugonjwa wa bawasiri?Bawasiri inahusikaje hapa mkuu? Au ukipata bawasiri unabadili matendo na muonekano unakua wa kidada