Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Walipimwa utimamu wa afya ya mwili [emoji16]

Ila kuna mmoja walimgundua namna anavyokimbia kama Raheem Sterling, wakajua huyu tayari kashapapaswa uwemba kitambo
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Drill za kijeshi lazima afe shoga ndo mana hawatakiwi
Kwa zile drill, daily atakuwa anashusha vitu mzee.

Lakini dah muhuni kweli anakubali kumuinamia mchizi mwenzie? Hata manzi tu kuona tackle langu sikubali kabisa.
Kuna mtu atasema waachwe tu waende ni haki za binadamu vete ala mierda😁.
 
Mliohitaj video nahisi kama ni hii
 
Na katika hao 8 ukifuatilia vyema utakuta 6 kati yao ni watoto wa maofisa, kama si maofisa wa kijeshi basi ni watoto wa walamba asali serikalini , watoto wa maofisa wa jeshi huwa wanalelewa kimaandazi sana, nimeishi nao, nawajua
 
Mmoja wao alionekana akikimbia Kwa kukata viuno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221108-174743.jpg
 
Ukiniambia kati ya kuwa na mshoga wengi na utawala wa ccm,nichsgue moja,Bora nchi iwe na mashoga wengi,kuliko kuwa na ccm hapa nchini,sana sana huyo mama yao,anayetembea amerembua macho
Haya wale watetezi waende Kwa kanali na mkuu was wilaya
 
Vijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .

Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Hii idadi imenifikirisha sana, huenda idadi ni kubwa sana na waliogundulika ni wale dizaini za James delicious, Kuna wale akina nanihiii hawaonesha dalili za wazi nao wakapenya.
Wanaume tupo wachache sana kwa kweli.
 
Ukiniambia kati ya kuwa na mshoga wengi na utawala wa ccm,nichsgue moja,Bora nchi iwe na mashoga wengi,kuliko kuwa na ccm hapa nchini,sana sana huyo mama yao,anayetembea amerembua macho
Kumbe wewe nawe ni shoga?
 
Bawasiri inahusikaje hapa mkuu? Au ukipata bawasiri unabadili matendo na muonekano unakua wa kidada
Mkuu unaujua vizuri ugonjwa wa bawasiri?
Unajua athari inayotokea kwenye njia ya hajakubwa unapokua na ugonjwa huo?

Tatizo ninaloliongelea hapa ni njia inayotumika kukagua hao mashoga katika jela na majeshi yetu.

Kwanza hua wanapigishwa Squat kisha ndio wanafungulishwa kitabu.
Unajua jinsi kitabu kinavyofunguliwa?

Unainama kisha unaambiwa upanue matako ili mkaguzi aone nusu kipenyo chako kina ukubwa gani.

Hii njia inayotumika kwanza ni udhalilishaji wa hali ya juu tena kwa magereza yetu hufanyika sehemu ya wazi tena mkiwa wengi na wote mmevua nguo mpo uchi wa mnyama.

Sitetei mashoga na kwa imani yangu sikubaliani na hoja zozote zinazotumiwa kuwatetea hawa watu na kuilazimisha dunia nzima iamini kua hio ni haki yao kua hivyo.
 
Back
Top Bottom