Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Tatizo kila jambo linasubiri kauli za wanasiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wa mkoa alisitisha uokoaji kwa sababu ya umeme.Kuna jeshi la majini,zimamoto na uokoaji.
Wote hawa walitakiwa kuonekana mapema sana,lakini sijajua mchawi ni nani!!!
Kuna zima moto na uokoaji, jeshi la majini ni kutoa sapoti pale tu inapohitajika, ila mbona niliskia walienda marine kutoa supportkatika nchi yetu kuna mgawanyo wa majeshi yetu. kuna jeshi la anga, la nchi kavu na jeshi la majini.
hiki kikosi maalumu cha majini makao makuu yake kipo kigamboni hapa Dar es salaam.
hivi kazi yake hiki kikosi ni kupigana vita ya kumwokoa nani au kumlinda nani kama kwenye ajali za majini hawawezi kufanya uokoaji??
sitaki kuamin kwamba hawa hawana vifaa. yaan nawafaham vizur wana kila aina ya vifaa vya majini. iwe usiku mvua jua wako tayari muda wote kukabiliana ndani ya maji. imekuaje tuko kimya kuhoji kazi ya kikosi hiki??
kazi ya jeshi sio kuchimba makabuli . kazi yao kubwa kuokoa, kukomboa, kulinda, kurejesha palipo bomoka. tumeona mara kadhaa wakijenga usiku na mchana madaraja.
yaan katika hili nitahoji kila nitakupopata nafasi ya kuliongelea. sitak kuongelea sijui ya waziri mkuu na mfuko wake wa majanga. hawa huwa siwajadili maana wamejaa bla bla tu. sitak kuamini na jeshi liingie kwenye utendaji wa wanasiasa. wao wakisikia sehem kimenuka wanapaswa kuamsha popo na sio kusubiri hawa wanasiasa.
angalizo kwa wale wanaodhan muda ulikua sio rafiki. yaan jeshi letu lina ndege za kivita. kufika mwanza hata dak 40 wanaweza kufika. kama wataalam wangekua hapa dar wangeweza kufika mwanza hata kuwazid walio hapo mwanza lakn wanatumia magari kutoka wilayani. ila ni kwamba inaonekana kazi ya jeshi ni kurusha ndege kututisha tukitaka kuandamana na siku ya uhuru. yaan napata hasira nikifikiria. sijui nani katuloga!!!
Unless otherwise it was a planned mission. ..
Kuna msemo mmoja unasema kwamba" Ukiona tukio lolote la maafa limetokea na serikali haijajihusisha ubruptly kwa kufanya juhudu zozote ,basi huenda a warning sign was directed kwa taasisi maalumu inayohusika na uokoaji isifanye juhudi zozote prior to the onset of the scenario...""
ni maneno ya mwana falsafa mmoja kutoka Mitchigan Forest...
yaan ni maji umajiniUmesema maji au majini?
inasemekana ndani ya dkika 1 mtu anazama kama hajui kuogelea ndani ya dkika 5 anakufa ikimaanisha ajali ikitokea uokoaji untakiwa ufike mapema sana ndani ya sekunde tatizo likishatokea sasa wewe unahisi taratibu zinatakiwa zichukue mda gani? au waokoaji kwa kuwa ile ndo kazi yao wanatakiwa wawe tayari wakat wowote wanajilaunch sio paka kuanza kujipanga baada ya tukioo...huwa kunataratibu za kufuata jeshini sio kujiondokea tu kama unavyoamka bila kutandika kitanda
Noma sana[emoji3][emoji3][emoji3]yaan ni maji umajini
Hii inapatana akili maana kuna maswali mengi sana ya kujiuliza katika hili tukio... Design kama titanic hivi..Unless otherwise it was a planned mission. ..
Kuna msemo mmoja unasema kwamba" Ukiona tukio lolote la maafa limetokea na serikali haijajihusisha ubruptly kwa kufanya juhudu zozote ,basi huenda a warning sign was directed kwa taasisi maalumu inayohusika na uokoaji isifanye juhudi zozote prior to the onset of the scenario...""
ni maneno ya mwana falsafa mmoja kutoka Mitchigan Forest...
kweli mkuu ila hata ka taa zilikuwa dar zingeweza kusafirishwa kwa ndege hata ya kukodi au helkopta maana ni maisha tunaoko, tena ya watu na si mtu mmoja,ila kunauzembe toka kutokea kwa ajali mpaka wokozi, mtu aliyesema zoezi limesitishwa ingelikuwa ni uwezo wangu ningeanza nae ka mfano kwa wengine ili wawe wanajiongezaSibishi mkuu itakua kweli, ila swala la kustisha zoezi wanasema taa zilizopo zinamulika juu ya maji tu ila ukizama chini ni kiza kwahiyo wasingeweza kufanya kitu istoshe miili ilikua chini ya maji na sio juu