Jeshi la majini kazi yake ni ipi? kwanini hawakuenda kuokoa mwanza??

Kila nafsi itaonja mauti.....tunaojiona miungu watu ipo siku tu
Hatutaishi milele
So sad
 
huwa kunataratibu za kufuata jeshini sio kujiondokea tu kama unavyoamka bila kutandika kitanda
 
Kuna jeshi la majini,zimamoto na uokoaji.

Wote hawa walitakiwa kuonekana mapema sana,lakini sijajua mchawi ni nani!!!
mkuu wa mkoa alisitisha uokoaji kwa sababu ya umeme.

Tanzania inayojenga treni ya umeme walikosa hata genereta.

Ila funny enough kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa na nyumbani kwake ana automatic genereta.
Hahaha.
Na bado yupo ofisini katulia tulii

Sasa jiulize kuwa kule mita mia ilipoanguka kivuko kuna nyaya za umeme zimefika kule au ni ujinga mtupu na watu wanakimbia responsibility zao.
 
Jamaa aliyapanda ndege kwenda Bondeni kwa Madiba kuazima wazamiaji kufuatia MV BK kuzama atakuwa na majibu sahihi japo kuna watu walimlaumu kwa kwenda Sauzi
 
Pawekwe, marine patrol tutaweza kupona kwenya majanga kama haya ya ajali za majini.
 
Kuna zima moto na uokoaji, jeshi la majini ni kutoa sapoti pale tu inapohitajika, ila mbona niliskia walienda marine kutoa support
 

Kwa maana nyengine raia wametolewa kafara. Dah hizi nchi zetu za watu weusi zimejaa watu wenye roho nyeusi kweli
 
huwa kunataratibu za kufuata jeshini sio kujiondokea tu kama unavyoamka bila kutandika kitanda
inasemekana ndani ya dkika 1 mtu anazama kama hajui kuogelea ndani ya dkika 5 anakufa ikimaanisha ajali ikitokea uokoaji untakiwa ufike mapema sana ndani ya sekunde tatizo likishatokea sasa wewe unahisi taratibu zinatakiwa zichukue mda gani? au waokoaji kwa kuwa ile ndo kazi yao wanatakiwa wawe tayari wakat wowote wanajilaunch sio paka kuanza kujipanga baada ya tukioo...
 
Hii inapatana akili maana kuna maswali mengi sana ya kujiuliza katika hili tukio... Design kama titanic hivi..

Huenda captain mkuu alijua kitakachotokea akaamua kubaki nchi kavu na kumpa deiwaka?

Wakati deiwaka anaongea na simu, alikua anaongea nini na alikua anaongea na nani?
 
Sibishi mkuu itakua kweli, ila swala la kustisha zoezi wanasema taa zilizopo zinamulika juu ya maji tu ila ukizama chini ni kiza kwahiyo wasingeweza kufanya kitu istoshe miili ilikua chini ya maji na sio juu
kweli mkuu ila hata ka taa zilikuwa dar zingeweza kusafirishwa kwa ndege hata ya kukodi au helkopta maana ni maisha tunaoko, tena ya watu na si mtu mmoja,ila kunauzembe toka kutokea kwa ajali mpaka wokozi, mtu aliyesema zoezi limesitishwa ingelikuwa ni uwezo wangu ningeanza nae ka mfano kwa wengine ili wawe wanajiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…