Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

😂
 
Mnajua hizi stori zenu mnazodanganyana redio imani? Sio mnakuja kutuletea uzi za hovyo huku jf
 
Kati ya wewe na general Milley nani tumsikilize?? Ile vita mlishindwa, kuacha magari ya kivita mengi vile sio mchezo na kwa siku si chin ya US $300m ilikua inatumika.View attachment 2618767
Lengo la Marekani kuacha silaha zao Afghanistan ni kuifarakanisha (destabilize) Middle East. Hapo kuna hazina ya mafuta ya kutosha. Ukanda huo yupo Mchina, adui wao mkubwa, pale juu yupo Mrusi, hasimu asiyepingika.

Marekani daima huwa ^anafaulu^ katikati ya vurugu, vita, na kumwaga damu. Hakuna hata siku moja, tangu ule mwaka, Marekani atakuja kuifurahia hali ya amani, hadi mwisho wake very, very soon.
 
Hiyo hoja yako hata ukiipeleka milembe wendawazimu watakubishia
 
Urusi je, walishinda vita Afghanistan?!
Vita vya Soviet-Afghanistan vilikuwa vita vya muda mrefu vya silaha vilivyopiganwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Afghanistan iliyokuwa chini ya udhibiti wa Soviet kutoka 1979 hadi 1989. Ilishuhudia mapigano makali kati ya vikosi vya uvamizi vya Umoja wa Kisovieti, DRA na vikundi washirika vya kijeshi dhidi ya mujahideen wa Afghanistan, wageni. wapiganaji, na vikundi vidogo vya Maoists wa anti-Soviet. Wakati mujahidina wakiungwa mkono na nchi na mashirika mbalimbali, sehemu kubwa ya uungwaji mkono wao ulitoka Pakistan, Marekani (kama sehemu ya Operesheni Cyclone.)

Urusi alichangiwa si unajua wamarekani wanapenda collabo
 
Naona umewachokonoa LGBTQ. Marekani ni maneno mengi na Propaganda na ushoga ndo anavyoweza.
Mbna kila siku mpo huko kuwalamba miguu hao mashoga wawape mikopo na misaada, kwann msiende kwa ma straight??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NATO ilianzishwa mwaka 1949 wakati wa vita baridi kama maungano ya nchi za Ulaya ya magharibi pamoja na Marekani dhidi ya Umoja wa Kisovyeti na Marekani imeanza kupigana vita toka 1939
Hujui chochote kuhusu Marekani,. Huu uzi wako ni aibu tu.
 
Vita vya Soviet-Afghanistan vilikuwa vita vya muda mrefu vya silaha vilivyopiganwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Afghanistan
Hahaha...
Kuna demokrasia gani pale, au unaota?!
Mbona ngojera ndeefu?
Sema tu kuwa Mrusi alifurushwa kwa aibu
 
Halaf kuna kama njmba 11 zime like hapa😃😃.
Au mdiyo kama yule mwamba aliye kili leo kuwa alikua na IDs kibao humu anafungulia nyuzi , ana like, ana comment, anazi gombanisha, anazipatanisha kumbe ni mtu mmoja
 
Hahaha...
Kuna demokrasia gani pale, au unaota?!

Mbona ngojera ndeefu?
Sema tu kuwa Mrusi alifurushwa kwa aibu
Unaijua operation storm-333?

The Soviet Union left Afghanistan deep in winter and left Afghanistan officials on fear of red amry to return baada ya kujua walionyuma ya Afghanistan ni nani
 
Ulipokuja kusema kuhusu jwtz apo ndo sijakubaliana na wewe,ni kweli taliban,vietcong n.k wote walikua na morali na utayari wa kujitoa kupambania nchi zao ndio maana walishinda,wanajeshi wengi wa US hawakua na utayar kabisa na izo vita
 
Halaf kuna kama njmba 11 zime like hapa😃😃.
Au mdiyo kama yule mwamba aliye kili leo kuwa alikua na IDs kibao humu anafungulia nyuzi , ana like, ana comment, anazi gombanisha, anazipatanisha kumbe ni mtu mmoja
Wamarekani bana kwaiyo mtu asi like 😂
 
Afghanistan sio middle east, na wala haipo ukanda wa mafuta, Afghanistan wapo na Kina Pakistan ni kama wahindi Tabia na Mila zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…