Kulikua na mvua ya makombora leo israel,na kaambiwa akijikuna atapewa kitu achakaeWavaa kobazi hawawezi kukomenti hapa[emoji3]
Soma comment namba nne usiwe mwehu kiasi hichoWavaa kobazi hawawezi kukomenti hapa[emoji3]
Mavi yao ona vitu vinavyo shuka 80 Missiles zimeland katika 100 na zingine zimeanza kuja za round ya piliIsrael leo Air Dwfence isingeweza kitu maana kwa jinsi Iran alivyorusha isingeweza kitu kabisa kwani pods zake ni 16 missiles yeye katumiwa zaidi ya 180 reload time na muda Missiles zimetoka Iran zimetumia dakika 10 tu
Umevaa kobazi hadi kwenye ubongoaSoma comment namba nne usiwe mwehu kiasi hicho
Israel leo katandikwa hakuna cha Iron mavi wala jeshi la marekani.US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official.
The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley.
US destroyers also took part in intercepting Iran’s barrage of ballistic missiles and drones on April 13, shooting down several of the missiles launched at Israel.
Mimi sijui ni juu yao waseme ukwel au wafiche kila mtu kashuhudia mzigo umetua tena kwa wingiUmevaa kobazi hadi kwenye ubongoa
Hiyo ndio shida yenu vijana wa 2000's. Sasa Ukristo umeingia je hapa mkuu?Wakiristo wa jf propaganda mnasomea wapi?
Kusema wameyazuia ni uongo. Mvua imenyesha sana leo Israel. Tunataka kesho tuone majibu yao. Wacha watandikane sawa sawa ili waache kubwekabweka. Tunataka tupate mshindi.Mimi sijui ni juu yao waseme ukwel au wafiche kila mtu kashuhudia mzigo umetua tena kwa wingi
Sasa Mkuu Hujaweka Neno Lenyewe Lile MakafrWakiristo wa jf propaganda mnasomea wapi?
Hii ndio changamoto yenu vijana. Zitaanza bifu muda si mrefu humu.Mungu w Israel amuwezi mungu wa irani tuone kama star-shaped jiwe kwenda iran mnadanganywa sana ndio mjue iran ndio super powerful w mid est jehova Leo kala kona kawaacha taifa teule.
Kwanini Jeshi la marekani na si Israel, kati ya Israel na marekani lipi ni taifa teule?US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official.
The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley.
US destroyers also took part in intercepting Iran’s barrage of ballistic missiles and drones on April 13, shooting down several of the missiles launched at Israel.