Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

Weka ushahidi wa madhara yaliyotokea, kusababishiwa na makombora. Hii dunia ya technology huwezi kuficha kitu. Ukizingua hata satellite zitakuumbua🤔
Sina haja ya kubishana.
Ukipata muda ingia mitandaoni utaona mfano tukio la kuharibiwa platform ya kisima cha mafuta.
Ipo video inaonesha kinawaka moto baada ya kombora kutua. Kwenye hizo platforms lazima kunakuwa na binadamu pia.
 
Weka source ya habari achana na story za vijiweni
 
Israel kama ikikusudia kushambulia watu basi watakuwa ni magaidi. Kama kuna raia watakufa basi watakuwa walifanywa ngao na hao magaidi /human shield 🤔.
Tusubiri Israeli itakavyolipiza kisasi dhidi ya Ayotollahs 🤔

Israel inapiga mashule, misikiti, makanisa, ofisi za UN, waandishi wa habari, watoa misaada, hadi makaburi .

Kiufupi Imeua watoto wadogo zaidi ya 16000 huko Gaza. Kama unaamini watoto ni magaidi basi kaangalie vizuri kama moyo wako bado una utu.
 
Kulikua na mvua ya makombora leo israel,na kaambiwa akijikuna atapewa kitu achakae
Waislam mmefurahi sana Israel kushambuliwa, mmesahau kwamba ndani ya Israel kuna ndugu zenu katika imani zaidi ya mil 2 wanaishi kwa amani chini ya serikali ya Netanyahu
 
Israel leo Air Dwfence isingeweza kitu maana kwa jinsi Iran alivyorusha isingeweza kitu kabisa kwani pods zake ni 16 missiles yeye katumiwa zaidi ya 180 reload time na muda Missiles zimetoka Iran zimetumia dakika 10 tu
Kama masaa kadhaa kabla walikuwa na matarajio kuwa ballistic missiles zitatumwa na kwa kuwa tayari walikuwa na experience ya kile cha mwezi April basi air defence yao haiwezi kuelemewa.
Ingeelemewa only kama wangeshambuliwa ghafla pasipo tension wala intel in advance.

Katika air defence system yao, tuiweke pembeni Iron Dome. Twende na David Sling Arrow 2 and 3.

David sling:
3 batteries
Battery has 4 launchers
@launcher has 12 stunner missiles

Arrow 2:
3 battery
@batteries has 4 launchers
@launcher has 6 interceptors
So each battery can carry 36 up to 48 interceptors

Arrow 3:
2 batteries
Battery has 4 launchers
@launcher has 4 interceptors

Kumbuka, katika utndaji wake siyo kwakila ballistic missiles itakuwa intercepted bali zile ambazo based on calculation zitaonekana ni most threat ndiyo huwa zinakuwa intercepted, nyingine huachwa zishuke tu.
Sasa hapo kwa hizo 180 ballistic missiles tunawezaje kusema air defense isingeweza kitu?
 
We jamaa bana unaongopa bila hata aibu.
Jana kila mtu kaona makombora yakitua kwa wingi ndani ya Israel.
Na USA alijitahidi kudungua baadhi ya makombora ila mengi sana yametua na kufanya uharibifu hadi Nevatim airbase imelipuka.
Uongo haukusaidii kitu.
 
Kama masaa kadhaa kabla walikuwa na matarajio kuwa ballistic missiles zitatumwa na kwa kuwa tayari walikuwa na experience ya kile cha mwezi April basi air defence yao haiwezi kuelemewa.
Ingeelemewa only kama wangeshambuliwa ghafla pasipo tension wala intel in advance.

Katika air defence system yao, tuiweke pembeni Iron Dome. Twende na David Sling Arrow 2 and 3.

David sling:
3 batteries
Battery has 4 launchers
@launcher has 12 stunner missiles

Arrow 2:
3 battery
@batteries has 4 launchers
@launcher has 6 interceptors
So each battery can carry 36 up to 48 interceptors

Arrow 3:
2 batteries
Battery has 4 launchers
@launcher has 4 interceptors

Kumbuka, katika utndaji wake siyo kwakila ballistic missiles itakuwa intercepted bali zile ambazo based on calculation zitaonekana ni most threat ndiyo huwa zinakuwa intercepted, nyingine huachwa zishuke tu.
Sasa hapo kwa hizo 180 ballistic missiles tunawezaje kusema air defense isingeweza kitu?
Ni rahisi kutungua ballistic missiles maana zinafuata ballistic trajectory ambayo ukifanikiwa kuitrace unazitungua. Hypersonic misiles ni ngumu mno maana kwanza zinaenda kasi mno, pili hazifuati trajectory maalum, tatu Iran alirusha nyingi kiasi kwamba hata kama una intelijensia ya kutosha unakuwa hujui anarusha ngapi
 
Mimi najiuliza, na Israel akifurumisha mvua ya makombora je Iran atahimili kuyatungua? Au Israel yeye hana hayo makombora?
Ni rahisi kutungua ballistic missiles maana zinafuata ballistic trajectory ambayo ukifanikiwa kuitrace unazitungua. Hypersonic misiles ni ngumu mno maana kwanza zinaenda kasi mno, pili hazifuati trajectory maalum, tatu Iran alirusha nyingi kiasi kwamba hata kama una intelijensia ya kutosha unakuwa hujui anarusha ngapi
 
Ni rahisi kutungua ballistic missiles maana zinafuata ballistic trajectory ambayo ukifanikiwa kuitrace unazitungua. Hypersonic misiles ni ngumu mno maana kwanza zinaenda kasi mno, pili hazifuati trajectory maalum, tatu Iran alirusha nyingi kiasi kwamba hata kama una intelijensia ya kutosha unakuwa hujui anarusha ngapi
Yes, upo sahihi, ila katika makombora yote yaliyorushwa asilimia kubwa ilikuwa na ballistic missiles, Fattah-2 ambalo ni hypersonic wakirusha kwa mara ya kwanza.
Katika defense system za Israel, only Arrow 3 ndiyo yenye uwezo wa kuweza ku intercept hypersonic. Hii ni exoatmospheric hypersonic anti-ballistic missile
 
Back
Top Bottom