Sina haja ya kubishana.Weka ushahidi wa madhara yaliyotokea, kusababishiwa na makombora. Hii dunia ya technology huwezi kuficha kitu. Ukizingua hata satellite zitakuumbua🤔
Weka source ya habari achana na story za vijiweniSina haja ya kubishana.
Ukipata muda ingia mitandaoni utaona mfano tukio la kuharibiwa platform ya kisima cha mafuta.
Ipo video inaonesha kinawaka moto baada ya kombora kutua. Kwenye hizo platforms lazima kunakuwa na binadamu pia.
Israel kama ikikusudia kushambulia watu basi watakuwa ni magaidi. Kama kuna raia watakufa basi watakuwa walifanywa ngao na hao magaidi /human shield 🤔.
Tusubiri Israeli itakavyolipiza kisasi dhidi ya Ayotollahs 🤔
Sasa wewe umeona wapi hayo madhara kama huo ndio utaratibu?
Waislam mmefurahi sana Israel kushambuliwa, mmesahau kwamba ndani ya Israel kuna ndugu zenu katika imani zaidi ya mil 2 wanaishi kwa amani chini ya serikali ya NetanyahuKulikua na mvua ya makombora leo israel,na kaambiwa akijikuna atapewa kitu achakae
Kama masaa kadhaa kabla walikuwa na matarajio kuwa ballistic missiles zitatumwa na kwa kuwa tayari walikuwa na experience ya kile cha mwezi April basi air defence yao haiwezi kuelemewa.Israel leo Air Dwfence isingeweza kitu maana kwa jinsi Iran alivyorusha isingeweza kitu kabisa kwani pods zake ni 16 missiles yeye katumiwa zaidi ya 180 reload time na muda Missiles zimetoka Iran zimetumia dakika 10 tu
Kufurahia vita ni ujinga .Waislam mmefurahi sana Israel kushambuliwa, mmesahau kwamba ndani ya Israel kuna ndugu zenu katika imani zaidi ya mil 2 wanaishi kwa amani chini ya serikali ya Netanyahu
Mbona sasa mnafurahia?!Kufurahia vita ni ujinga .
Jina lako linasadifu na ulichokiandikaIran Waache kutuma mascrepa yao ya mabomba ya mabati, angalau waanze kutuma Majini. Wakishidwa waje bongo mashehe wenye utaalam wa kutuma majini ni wengi mno.
Ni rahisi kutungua ballistic missiles maana zinafuata ballistic trajectory ambayo ukifanikiwa kuitrace unazitungua. Hypersonic misiles ni ngumu mno maana kwanza zinaenda kasi mno, pili hazifuati trajectory maalum, tatu Iran alirusha nyingi kiasi kwamba hata kama una intelijensia ya kutosha unakuwa hujui anarusha ngapiKama masaa kadhaa kabla walikuwa na matarajio kuwa ballistic missiles zitatumwa na kwa kuwa tayari walikuwa na experience ya kile cha mwezi April basi air defence yao haiwezi kuelemewa.
Ingeelemewa only kama wangeshambuliwa ghafla pasipo tension wala intel in advance.
Katika air defence system yao, tuiweke pembeni Iron Dome. Twende na David Sling Arrow 2 and 3.
David sling:
3 batteries
Battery has 4 launchers
@launcher has 12 stunner missiles
Arrow 2:
3 battery
@batteries has 4 launchers
@launcher has 6 interceptors
So each battery can carry 36 up to 48 interceptors
Arrow 3:
2 batteries
Battery has 4 launchers
@launcher has 4 interceptors
Kumbuka, katika utndaji wake siyo kwakila ballistic missiles itakuwa intercepted bali zile ambazo based on calculation zitaonekana ni most threat ndiyo huwa zinakuwa intercepted, nyingine huachwa zishuke tu.
Sasa hapo kwa hizo 180 ballistic missiles tunawezaje kusema air defense isingeweza kitu?
Siyo vita ya kidiniWaislam mmefurahi sana Israel kushambuliwa, mmesahau kwamba ndani ya Israel kuna ndugu zenu katika imani zaidi ya mil 2 wanaishi kwa amani chini ya serikali ya Netanyahu
Ni rahisi kutungua ballistic missiles maana zinafuata ballistic trajectory ambayo ukifanikiwa kuitrace unazitungua. Hypersonic misiles ni ngumu mno maana kwanza zinaenda kasi mno, pili hazifuati trajectory maalum, tatu Iran alirusha nyingi kiasi kwamba hata kama una intelijensia ya kutosha unakuwa hujui anarusha ngapi
sawa sio vita ya kidini ila sasa Mbona waislam mnashangilia Israel ikishambuliwa?!Siyo vita ya kidini
Wewe kwann unaumia Israel ikishambuliwa?sawa sio vita ya kidini ila sasa Mbona waislam mnashangilia Israel ikishambuliwa?!
Nani kasema naumia?!Wewe kwann unaumia Israel ikishambuliwa?
Kama hu umii vipi unawahusudu waislam wakishangilia walipo chagua. Kushangilia?Nani kasema naumia?!
Yes, upo sahihi, ila katika makombora yote yaliyorushwa asilimia kubwa ilikuwa na ballistic missiles, Fattah-2 ambalo ni hypersonic wakirusha kwa mara ya kwanza.Ni rahisi kutungua ballistic missiles maana zinafuata ballistic trajectory ambayo ukifanikiwa kuitrace unazitungua. Hypersonic misiles ni ngumu mno maana kwanza zinaenda kasi mno, pili hazifuati trajectory maalum, tatu Iran alirusha nyingi kiasi kwamba hata kama una intelijensia ya kutosha unakuwa hujui anarusha ngapi