City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hoja yangu toka mwanzo ilikua sijawahi kuona waislamu wakiwapinga Al shabab na Boko HaramSio kila mtu anayeibuka kutumia Qur’an kuhalalisha kila kitu hata kama ni kiovu basi ni wa kumkubali na kumkubali huo ndio ujinga ila kama nyinyi mmeamua kuwakubalia hao mashoga sawa tu ni maamuzi yenu
Kutokuona kwako haimaanishi hatupingiHoja yangu toka mwanzo ilikua sijawahi kuona waislamu wakiwapinga Al shabab na Boko Haram
Nimeona mara nyingi waislamu wakiapia kumuua salmon rushdie, au Charlie hebdo lakini kwa boko haram na Al shabab huwa mnachora mstari
Hivi kwanini wakristo wengi huiunga mkono Israel hata kama ikifanya ugaidi? wakati huo Israel wanawabagua wakristo? hi imekaaje? kuna connection ipi?Hoja yangu toka mwanzo ilikua sijawahi kuona waislamu wakiwapinga Al shabab na Boko Haram
Nimeona mara nyingi waislamu wakiapia kumuua salmon rushdie, au Charlie hebdo lakini kwa boko haram na Al shabab huwa mnachora mstari
Kamwe mafuta hayawezi kuwa dying business. Usisahau ndege zinatumia mafuta ya kerosene ambayo huchakatwa kutoka kwenye crude oil.Electric cars na renewable energies ndio solution ya haya mavita, na tayari imeanza, Trump na waarabu wana akili za miaka 50 iliyopita, mafuta is a dying business
Imani ni kitu kizuri alafu kuna kibaya. Wakristo wanaamini Israel ni taifa teule regardless ya huo ubaguzi unaosema.Hivi kwanini wakristo wengi huiunga mkono Israel hata kama ikifanya ugaidi? wakati huo Israel wanawabagua wakristo? hi imekaaje? kuna connection ipi?
Ina maana uteule huo upo kwenye taifa ama watu wake?Imani ni kitu kizuri alafu kuna kibaya. Wakristo wanaamini Israel ni taifa teule regardless ya huo ubaguzi unaosema.
Ukija kwenye waislamu wanawachukia Israel sababu kwenye Quran waneambiwa hao maadui zao.
Waislamu wanawapenda waarabu sababu ya Imani lakini waarabu hubagua watu weusi.
Naamini umeona mambo yalivyo?
Waislamu hatuwachukii waisrael na wala hatuwapendi waarabu bila sababuImani ni kitu kizuri alafu kuna kibaya. Wakristo wanaamini Israel ni taifa teule regardless ya huo ubaguzi unaosema.
Ukija kwenye waislamu wanawachukia Israel sababu kwenye Quran waneambiwa hao maadui zao.
Waislamu wanawapenda waarabu sababu ya Imani lakini waarabu hubagua watu weusi.
Naamini umeona mambo yalivyo?
Mkuu kusema ule ukweli mimi biblia siijui vizuri na pia Quran siijui vizuri. Nasoma kile watu wanachosema, sijui hiko kifungu kipo wapi Ila wanasema imeandikwa ni taifa teuleIna maana uteule huo upo kwenye taifa ama watu wake?
Kama ni watu, mbona wale ni wayahudi na hawa ni wakristo? dini mbili tofauti kabisa, maana uyahudi unaoana na uislamu zaidi kuliko ukristo hii imekaaje?
Yatakuwepo lakini sio kama level ya sasa yanavyotumika, mitambo na magari ni zaidi ya 70% ya matumizi duniani na huko ndio renewable energy inafanya damage kubwa in oil business, Aviation matumizi ni only 7% , number hazidanganyi na oil is going down 📉↘️ fastKamwe mafuta hayawezi kuwa dying business. Usisahau ndege zinatumia mafuta ya kerosene ambayo huchakatwa kutoka kwenye crude oil.
Heavy machineries hutumia petroleum pia.
Wewe endelea kujidanganya.
Kushindwa kwako kujibu swali maana yake ni kwamba madai yake ni kweli.Vipi yale makanisa ya LGBTQ yanayodai kuwa ni ya kikristo nyinyi mnahusika nayo?
Swali gani tena wakati ndio kwanza mimi nilikuwa namuuliza swali?Kushindwa kwako kujibu swali maana yake ni kwamba madai yake ni kweli.
Heavy machineries za migodini,viwandani hutumia mafuta. Usitegemee ulichokiandika. Pia kuna Ulaya na kuna Afrika.Afrika bado kufika huko kwenye green energy.Yatakuwepo lakini sio kama level ya sasa yanavyotumika, mitambo na magari ni zaidi ya 70% ya matumizi duniani na huko ndio renewable energy inafanya damage kubwa in oil business, Aviation matumizi ni only 7% , number hazidanganyi na oil is going down 📉↘️ fast
Heavy machinery especially za migodini zimeanza kuwa electrified na more efficient kuliko diesel, na Africa itakuwa electrified faster kuliko nchi zilizoendelea, check Ethiopia kwa sasa huwezi kuingiza gari za mafuta, hata Tanzania is cheaper kununua solar na kutumia kutumia generator la mafuta na ndio imeanza, go educate yourself umelala sanaHeavy machineries za migodini,viwandani hutumia mafuta. Usitegemee ulichokiandika. Pia kuna Ulaya na kuna Afrika.Afrika bado kufika huko kwenye green energy.
Bro unaongea na mtu anayejielewa na anayefahamu kuhusu hivyo vifaa.Heavy machinery especially za migodini zimeanza kuwa electrified na more efficient kuliko diesel, na Africa itakuwa electrified faster kuliko nchi zilizoendelea, check Ethiopia kwa sasa huwezi kuingiza gari za mafuta, hata Tanzania is cheaper kununua solar na kutumia kutumia generator la mafuta na ndio imeanza, go educate yourself umelala sana
Hata iwe mpaka kesho ni lazima tu Ayatollah ajiandae kunyolewa kavu hizo ndevu zake!!Vipi bado wanajiandaa mpaka leo ?
Dini ni uchiziImani ni kitu kizuri alafu kuna kibaya. Wakristo wanaamini Israel ni taifa teule regardless ya huo ubaguzi unaosema.
Ukija kwenye waislamu wanawachukia Israel sababu kwenye Quran waneambiwa hao maadui zao.
Waislamu wanawapenda waarabu sababu ya Imani lakini waarabu hubagua watu weusi.
Naamini umeona mambo yalivyo?