Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

Naam nakubaliana na wewe.
Kwanini isiwe kesi ya kuiba gari
Umeona polisi wakieleza kupokea taarifa au malalamiko kutoka kwa mmiliki kwamba kuna mteja amekiuka Makubaliano ya mkataba na gari yake hairejeshwi?
Uhai au Hali ya gari ya harusi au shughuli ya harusi unadhani ni rahisi kuiuza Kwa ajili kukata scraper?
Unapokodi gari dereva unakua wewe bwana harusi au unakabidhiwa dereva? Je dereva Yuko wapi kama ni hivyo?
Ina maana alipata wapi fedha ya kukodi gari kama alikua Bado ana madeni ya harusi? Kwanini useme hivyo wewe kuwa ilikua ni Kwa ajili ya scrap na sio vinginevyo?.
Turudi nyuma, Polisi alawli wanasema ilisalia milioni Moja Ili mnunuzi akabidhiwe gari, hapo hapo wanasema gari imekamatwa Kwa mnunuzi! Swali fukirishi zaidi kwako umewahi Kununua au kuuza gari Kwa mtu, kama hapana kaulize utaratibu wa kuuziana gari, sio kama unauziana mbuzi au kuku!
Je mkodishaji alikodisha gari na documents halisi zote?
 
toyota ractis nayo ya kumdai mtu si unaazimwa tu ka beleshi, usijekuta gari hajauza kaiweka bondi tu mambo yakikaa sawa arejeshe,

kwahiyo jamaa kaendesha v8 kutoka kahama hadi dar kununua shokapu nchi hii masikini kumbe wachache sana
 
Mbona hii statement yako haielewki!? Gari kakutwa nayo mnunuzi ambae alikua akabidhiwe gari baada ya kumalizia M1 which is which!? Sasa kakabidhiwa vp bila kumalizia hiyo M1 anayo daiwa!!??
Gari alikabidhiwa bila kadi lengo akimalizia deni apewe kadi yake
 
Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi.

Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi Ili Kulipa Madeni na kwamba Polisi wanaendelea kukusanya taarifa Ili Kubaini kama bwana Masawe alijipoteza au ikoje.

Polisi wanadai taarifa zaidi zitatolewa.👇👇

Ni utata, ndivyo unavyoweza kueleza kuhusu taarifa za kupotea bwana harusi, Peter Masawe ambaye Jeshi la Polisi linaeleza uchunguzi wa awali umebaini alikuwa na madeni na ameuza mali za watu.

Mbali ya taarifa ya Polisi, baadhi ya marafiki wa Masawe anayejulikana zaidi kwa jina la Vincent, wanaeleza wakionyesha wasiwasi kutokana na mzunguko waliotumia walipomtafuta tangu alipopotea.

Victor Mawalla, akizungumza na Mwananchi leo Desemba 15, 2024 amesema alipigiwa simu na Vincent ambaye ni rafiki yake akamweleza alikuwa Mbezi na kuna magari mawili yanamfuatilia, moja alilitaja ni Toyota Land Cruiser (Hardtop).

Amesema alimpatia ushauri aingie kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa taarifa.

"Nilivyomwambia hivyo alikubali akinitajia namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini baada ya kufuatilia ikabainika gari alilolitaja limepaki eneo la Ilala," amesema Mawalla.

Amesema baada ya kufuatilia Jeshi la Polisi lilikamata gari na mmiliki ambaye alifika Dar es Salaam akitokea Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya magari ambaye alikuwa hafahamu chochote kuhusu kinachoendelea.

Kutokana na taarifa iliyokuwa imetolewa kwenye mitandao juu ya kupotea kwa bwana harusi Jeshi la polisi limetolea taarifa

na taarifa inathibitisha kuwa bwana harusi huyo aliuza gari alilokodi kwa ajili ya harusi huku akimtumia mkewe pesa nyingine apunguze madeni .

My Take
Polisi tunaomba Haki itendeke Kwa matukio yote Ili kuondoa hofu na mashaka kwenye jamii.

Mambo ya kutekana hayafai.
View attachment 3177369
Hilo gari aliliuza kama nyanya sokoni? Ni ununuzi wa bidhaa sokoni tu hauhitaji mabadilishano ya nyaraka za umiliki.
 
Kwanini isiwe kesi ya kuiba gari
Umeona polisi wakieleza kupokea taarifa au malalamiko kutoka kwa mmiliki kwamba kuna mteja amekiuka Makubaliano ya mkataba na gari yake hairejeshwi?
Uhai au Hali ya gari ya harusi au shughuli ya harusi unadhani ni rahisi kuiuza Kwa ajili kukata scraper?
Unapokodi gari dereva unakua wewe bwana harusi au unakabidhiwa dereva? Je dereva Yuko wapi kama ni hivyo?
Ina maana alipata wapi fedha ya kukodi gari kama alikua Bado ana madeni ya harusi? Kwanini useme hivyo wewe kuwa ilikua ni Kwa ajili ya scrap na sio vinginevyo?.
Turudi nyuma, Polisi alawli wanasema ilisalia milioni Moja Ili mnunuzi akabidhiwe gari, hapo hapo wanasema gari imekamatwa Kwa mnunuzi! Swali fukirishi zaidi kwako umewahi Kununua au kuuza gari Kwa mtu, kama hapana kaulize utaratibu wa kuuziana gari, sio kama unauziana mbuzi au kuku!
Je mkodishaji alikodisha gari na documents halisi zote?
Yaani boya gani huyo kanunua gari kiboya hivo? huwezi kununua gari kwa mu ambaye sio lake na kadi haisomi gari sio nyanya au simu
 
Polisi wameshaona watanzania wote ni UVCCM
 
Hiyo Heading nayo inapotosha…

Taarifa ya Polisi inasema gari alilouza aliliazima kutoka kwa jamaa yake… ili limsaidie ktk maandalizi ya Harusi ambalo hakulirejesha kwa mwenyewe badala yake akaliuza.

“…ushahidi mwingine uliopatikana ni kwamba wakati wa maandalizi aliazima gari ( T 642 EGU Toyota Ractis) kutoka kwa Jamaa yake ili imsaidie katika shughuli za harusi lakini hakulirejesha gari hiyo kwa Mwenyewe…”
 
Gari kakutwa nayo mtu anadai aliuziwa na huyo massawe na alimpa milioni nane ili akimalizia milioni moja amkabidhi gari Mimi ni jirani na huyo massawe na mpaka polisi wanakuja kuchukua mkewe nilikuwepo.

Wewe unakataa gari halikuuzwa kivipi?
Maskini Nini harusi wa watu,huyo bibie kabila gani?(nje ya mada)
 
Back
Top Bottom