johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuhusu Yusuf mchungaji Kimaro alishatolea ufafanuzi Kanisani na kwamba polisi walitimiza wajibu wao kikamilifu!Sense of responsibility! Huwezi kuzuia makosa yasifanyike lakini unaweza kuchukua hatua yakifanyika.. Utachukua hatua gani! ? Hilo ndio la nuhimu
Na kesi ya Mtwara polisi watakuwa huru. Sio kwa sababu hawana hatia bali mfumo wa HAKI umeozaWatanzania na sisi sijui nani katuloga yani tunakaa kimyaa mpaka yatupate. Maana leo kwa yusuph kesho hatujui kwa nani.
Polisi yenyewe ndo hao wanaua raia na kupora hela.
Wajibu pekee ni wauaji kufikishwa mbele ya mahakama. Kama una rejea ya kesi hii kufikishwa mahakamani weka hapa jukwaani nduguKuhusu Yusuf mchungaji Kimaro alishatolea ufafanuzi Kanisani na kwamba polisi walitimiza wajibu wao kikamilifu!
Ugoro huuu umeandika hapa...Kila nchi kuna changamoto kama hizo na hakuna aliyejiuzulu kwakua kujiuzulu siyo suluhisho bali ni kuendelea na uchunguzi.
Siamini kama TPF wamefanya uchunguzi mpaka mwisho bali bado unaendelea.
Januari Mosi 2021 aliyekuwa RPC DSM Mambosasa alisema wanafanya uchunguzi na watautaarifu umma. Leta mrejesho wa umma kutaarifiwa kuhusu tukio hili.Kuhusu Yusuf mchungaji Kimaro alishatolea ufafanuzi Kanisani na kwamba polisi walitimiza wajibu wao kikamilifu!
Mengi kati ya hayo ni ya michongo .. Nimefanya kazi nao kwa karibu karibia miaka 20 najua ndani nje nini kinaendelea hukoKuwajibika kupi unakomaanisha manake matukio ambayo watuhumiwa wanapatikana ni mengi sana kulingana na yale ambayo bado yapo chini ya uchaguzi.