Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Kufatia na Report iliyotolewa na msemaji wa jeshi la police, Dodoma wakidai kuwa hakuna ushahidi kuwa mbowe alishambuliwa bali alikuwa kalewa chakari. Wao pia wanatakiwa watoe ushahidi kuthibitisha report yao.

Kulewa sio sababu ya mtu kutokushambuliwa. Unaweza ukalewa na ukashambuliwa. Na matukio ya namna hii yapo sana hapa nchini.

Kauli kuwa alikuwa hawezi hata kuzungumza baadhi ya maneno ni kitu cha kawaida kwa mtu aliyepo kwenye maumivu makali . Sio lazima ukilewa ndyo ushindwe kuongea. Tena kwenye ulevi ni opposite. Mlevi huweza kuongea sana kuliko anapokuwa katika hali yake ya kawaida.


Hivyo basi, watoe ushahidi kuwa kweli alikuwa amelewa na hakushambuliwa na wasiojulikana.
 
Samson alinywea kwa Delira!
Nyagi siyo mchezo, aliniusia marehemu baba yangu!
Mwamba kashachafuka, hata chadema waje na utetezi gani, tumshauri achutame tu
 
Alipiga kelele sana lakini majirani hawakusikia, Dereva wake aliyekuwa kwake ndiye alisikia akaja kumchukua na kumpeleka kwa... badala ya Polisi. Na kisha kwenda kituo cha afya zaidi ya km 5 nje ya mji. Duuuh!!

Usishangae kesho tukasikia dereva wa Mbowe naye hajulikani alipo.
 
Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.

Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa.
Mbowe akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.

Maisha haya puuuui.

Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Kwakweli hata mie nimemhurumia mkewe. Japo haya alikuwa anayajua, ila kuanikwa hadharani namna hii, sio poa.
 
Mkuu, mda si mrefu umesema CHADEMA wamewatega Polisi na sasa wanaenda kumwaga mboga, lakini ukisoma hilo tamko utaona ni la kitoto kabisa na hakuna hoja yoyote.

Kaeni kimya kama hakuna la maana
 
Ni aibu kubwa sana kwa chama kikuu cha upinzani ambacho mwenyekiti wake ni KUB na ni chama ambacho hapo awali kiliwahi kuwa na imani kubwa kwa wananchi.Kwamba mwenyekiti wake ambae ni KUB alilewa chakari na wakati anarudi kwake akiwa anapanda ngazi aliteleza na kuanguka kisha kuteguka kisigino.
Tukio hili ukichanganya na lile la ubadhirifu na ufisadi wa mabilioni ya pesa ya chama hiki imekiondolea imani kabisa kwa wananchi. Yaani kiongozi ambae analipiwa kila kitu na serikali kwa gharama ya kodi ya walalahoi watanzania kumbe ni mzee wa matingasi na kula bata na vimada!. Wafuasi wake na wanachama wanahoji juu ya Cctv camera footage. Lakini polisi wamewahoji wanamchi ambao ni jirani na Chairman wa Chadema kama walisikia kelele za mtu kuvamiwa na kuomba msaada. Wao wamesema hawakusikia. Sasa Cctv ndio ushahidi wa kuuamini kuliko binadamu anaye sense kwa viungo?
Kwa ujumla wananchi hawana imani tena na Chadema. Na wasitafute mchawi chama hiki kimejiua chenyewe sababu ya kuwa na viongozi wala bata na wapigaji madeal. Na majibu yataanza toka baada ya bunge kuvunjwa siku ya jumanne.
 
Hata sisi tulijua mnataka Mbowe afanane na Lissu ili muwarubuni wajumbe wa mkutano Mkuu . haya mwambieni nae akachukue fomu ya Urais. Au kashaandika barua ya kutia nia kimya kimya? Maana leo ni tarehe 12June 2020
 
aache ulevi anajiaibisha mwenyewe,anaiaibisha familia yake na chama chake,mtu analewa chakari hadi anashindwa kuongea.Kwani pombe zinaisha? Pombe zipo tu!!!Ni aibu gani hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…