Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hivi footage za shambulio la Lissu ziliwekwa hadharani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupakatwa ni laanaSerikali haimuwekei mtu Cctv ndani kwake wajameni kama hajazitoa ni yeye mwenyewe hajataka au hakuweka
We jamaa bwana!
Ataambia nini watu akitokaMwenyekiti kafa kaoza
Kwakweli hata mie nimemhurumia mkewe. Japo haya alikuwa anayajua, ila kuanikwa hadharani namna hii, sio poa.Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.
Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa.
Mbowe akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.
Maisha haya puuuui.
Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Mkuu, mda si mrefu umesema CHADEMA wamewatega Polisi na sasa wanaenda kumwaga mboga, lakini ukisoma hilo tamko utaona ni la kitoto kabisa na hakuna hoja yoyote."Tulikuwa na shaka kuanzia siku ya kwanza juu ya Polisi kutumika kupotosha ukweli kuhusu tukio la Mwenyekiti Freeamn Mbowe. Mashaka hayo yamedhihirika kwa kutekeleza maelekezo aliyotoa Spika Ndugai kwao Bungeni kwa kusema uongo uleule uliosemwa na CCM Bungeni," Jon Mrema
"Kama ilivyokuwa tukio la kushambuliwa Tundu Lissu "hadi tukataka wachunguzi wa kimataifa, wamerudia tena utaratibu huo wa kusema uongo. Imekuwa ni kawaida yao kuficha ukweli na kuzusha mambo kama walivyofanya kwa mauaji ya Mwanahabari Daud Mwangosi na Aqulina Aquline "Jon Mrema
"Tunalitaka jeshi la polisi lifanye majukumu yake kwa weledi na sio kujiingiza kwenye propaganda za kisiasa ambazo zitalifanya lisiaminike kwa wananchi.l," Mkurugenzi wa Uenezi, Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje
Jf umeijua mwaka janaMbowe ni kijana wa mjini tu amepata platform ya kisiasa Kwasababu anawaongoza watu wasiokuwa na vision
Acha hasira.Endeleeni na sherehe za kichawi.
Hata sisi tulijua mnataka Mbowe afanane na Lissu ili muwarubuni wajumbe wa mkutano Mkuu . haya mwambieni nae akachukue fomu ya Urais. Au kashaandika barua ya kutia nia kimya kimya? Maana leo ni tarehe 12June 2020"Tulikuwa na shaka kuanzia siku ya kwanza juu ya Polisi kutumika kupotosha ukweli kuhusu tukio la Mwenyekiti Freeamn Mbowe. Mashaka hayo yamedhihirika kwa kutekeleza maelekezo aliyotoa Spika Ndugai kwao Bungeni kwa kusema uongo uleule uliosemwa na CCM Bungeni," Jon Mrema