Nadhani bado ujaelewa mantiki yangu!! Kwanza kulewa sio kosa? Je mbowe kapigwa wapi ( mtaani, nje ya nyumba yake au ndani ya nyumba yake)?Mi kinachoniuma mkuu, kwanini katibu mkuu atumie taasisi yetu kuficha personal weakneses...yani mtu alewe afu dah, yani nakosa chakuandika bora nkae kimya
Mwenyekiti wenu mbona chizi fresh mpka kwenye familia yao kuna vichaa,mdogo wake chizi fresh kitamboNi aibu kubwa sana kwa chama kikuu cha upinzani ambacho mwenyekiti wake ni KUB na ni chama ambacho hapo awali kiliwahi kuwa na imani kubwa kwa wananchi.Kwamba mwenyekiti wake ambae ni KUB alilewa chakari na wakati anarudi kwake akiwa anapanda ngazi aliteleza na kuanguka kisha kuteguka kisigino.
Tukio hili ukichanganya na lile la ubadhirifu na ufisadi wa mabilioni ya pesa ya chama hiki imekiondolea imani kabisa kwa wananchi. Yaani kiongozi ambae analipiwa kila kitu na serikali kwa gharama ya kodi ya walalahoi watanzania kumbe ni mzee wa matingasi na kula bata na vimada!. Wafuasi wake na wanachama wanahoji juu ya Cctv camera footage. Lakini polisi wamewahoji wanamchi ambao ni jirani na Chairman wa Chadema kama walisikia kelele za mtu kuvamiwa na kuomba msaada. Wao wamesema hawakusikia. Sasa Cctv ndio ushahidi wa kuuamini kuliko binadamu anaye sense kwa viungo?
Kwa ujumla wananchi hawana imani tena na Chadema. Na wasitafute mchawi chama hiki kimejiua chenyewe sababu ya kuwa na viongozi wala bata na wapigaji madeal. Na majibu yataanza toka baada ya bunge kuvunjwa siku ya jumanne.
weka ushahidiMbowe alikataa cctv camera nyumbani kwake
Unategemea mjinga kama huyu aseme mazuri kuliko sura yake,meno utafikiria chainsaw ya kupasua mbaoJeshi la Polisi litoe hadharani foot prints za CCTV Camera zilizopo eneo lote la Nyumba za Serikali ambapo Mh. Mbowe alivamiwa zioneshe hayo wanataka kuaminisha Umma. Ninyi ni Jeshi sio Idara ya Propaganda ya CCM.
Polisi sikilizeni, Mbowe alishakuwa ni "taasisi" na fikra zake za "Changes" zipo kwa mamilioni ya Watanzania, kamwe hamwezi kummaliza Mbowe, ambaye yupo kila Kitongoji, Kijiji, Mtaa, Kata, Taraafa, Wilaya na Mkoa. Mbowe yupo kwenye mioya na vichwa vya Watanzania!
Mr mkiki.
[emoji23][emoji23]Unategemea mjinga kama huyu aseme mazuri kuliko sura yake,meno utafikiria chainsaw ya kupasua mbaoView attachment 1476839
Nakuona uko na mjinga mwenzio,anakupa story ya cctv kua mbona alizitoa.lumumba ya awamu hii imejaa wajinga level yakoMbowe alikataa CCTV camera nyumbani kwake.
Nami nilimjibu Mkuu Paskali nikiamini amechangia mjadala kiusanii tu.Mkuu tusipende kuwalaumu polisi kwa kila kitu. Linapotokea tukio kisheria lazima polisi waende eneo la tukio. Na moja ya mambo wanayoyakiwa kuhoji ni pamoja na kuhoji wakazi eneo jirani na tukio.
Sasa kama victim anasema alipiga makelele wakati anakanyagwa na komandoo Mashimo,alafu hamna mtu aliyesikia? Polisi waseme nini?
Typing error ya Nkya na Mukya sio sababu ya kuwalaumu pia.
Najua kuna matukio mengi huwa wanafanya uzembe. Lakini kwa hili hata mimi nina mashaka sana. The Chairman was drunk.
Majirani kama hao hawakusikia pia kushambuliwa kwa mh Tundu Lissu 2017 Kwa milio ya Bunduki ya kivita? Umbali wa nyumba zao toka kwa Lissu ni upi? Walitoa msaada wowote kuzuia shambulizi? !!!!!!!!Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
Hakika katika watu karibu wote waliocomment kuhusu hii report, inaonyesha wewe umeilewa vyema.Hiyo sio proffesional statement kwa taasisi kubwa kama tanpol,hiyo ni kauli ya kimbea,kishankupe,kishambenga,ki mwananyamala kwa makoma au kitandale kwa tumbo.
sabasaba imekaribia unataka akale wapi ?@Pascal Mayalla jitenge na hii serekali ya kihuni!
sura sio kila kitu...Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
I never thought you could be this coward!Duh...!.
P
Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Acha kutete mlevi.Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?
Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?
Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"
Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.