Yanaondelea juu ya sakata hili yanatutia aibu kama taifa. Wakati mwingine unawaza kama tunafikiri sawa sawa. Unasikia kauli za viongozi unaishia kusikitika. Na sasa wanaopaswa kutumia weledi kutupa majibu ya nini kilijiri wanachoripoti kwa mtu unayefikiri sawa sawa unabaki kinywa wazi! Ni kama msisitizo wa taarifa hii ni mtu anaitwa Joyce Mukya!!