Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Yanaondelea juu ya sakata hili yanatutia aibu kama taifa. Wakati mwingine unawaza kama tunafikiri sawa sawa. Unasikia kauli za viongozi unaishia kusikitika. Na sasa wanaopaswa kutumia weledi kutupa majibu ya nini kilijiri wanachoripoti kwa mtu unayefikiri sawa sawa unabaki kinywa wazi! Ni kama msisitizo wa taarifa hii ni mtu anaitwa Joyce Mukya!!
 
MSAMEHEWA WETU 2014  Meneja Utawala na Rasilimali wa Jeshi la Polisi Kamishna Th ( 426 X 640 ).jpg


Polisi wenye weledi hawawezi kupokea misaada ya Mafisadi , hawawezi kung'arisha majengo ya jeshi lao kwa kutegemea misaada ya watu wasiofahamika wanakotokea wala wanachokifanya , mnakenua hadi jino la mwisho kwa mambo msiyoyajua !

ukishakuwa na polisi wa namna hii huwezi kuwaamini katika jambo lolote , ni aibu kubwa sana kuwa na polisi wa namna hii , mnamteka mfanyabiashara mnamrejesha baada ya mayowe kwa kuwasingizia wazungu wawili ambao ni porojo tu ! camera zipo lakini suala la Mbowe mnatunga hadithi kibao zisizo na ushahidi , kuna weledi hapo ?

- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Mi kinachoniuma mkuu, kwanini katibu mkuu atumie taasisi yetu kuficha personal weakneses...yani mtu alewe afu dah, yani nakosa chakuandika bora nkae kimya
Nadhani bado ujaelewa mantiki yangu!! Kwanza kulewa sio kosa? Je mbowe kapigwa wapi ( mtaani, nje ya nyumba yake au ndani ya nyumba yake)?
 
Ni aibu kubwa sana kwa chama kikuu cha upinzani ambacho mwenyekiti wake ni KUB na ni chama ambacho hapo awali kiliwahi kuwa na imani kubwa kwa wananchi.Kwamba mwenyekiti wake ambae ni KUB alilewa chakari na wakati anarudi kwake akiwa anapanda ngazi aliteleza na kuanguka kisha kuteguka kisigino.
Tukio hili ukichanganya na lile la ubadhirifu na ufisadi wa mabilioni ya pesa ya chama hiki imekiondolea imani kabisa kwa wananchi. Yaani kiongozi ambae analipiwa kila kitu na serikali kwa gharama ya kodi ya walalahoi watanzania kumbe ni mzee wa matingasi na kula bata na vimada!. Wafuasi wake na wanachama wanahoji juu ya Cctv camera footage. Lakini polisi wamewahoji wanamchi ambao ni jirani na Chairman wa Chadema kama walisikia kelele za mtu kuvamiwa na kuomba msaada. Wao wamesema hawakusikia. Sasa Cctv ndio ushahidi wa kuuamini kuliko binadamu anaye sense kwa viungo?
Kwa ujumla wananchi hawana imani tena na Chadema. Na wasitafute mchawi chama hiki kimejiua chenyewe sababu ya kuwa na viongozi wala bata na wapigaji madeal. Na majibu yataanza toka baada ya bunge kuvunjwa siku ya jumanne.
Mwenyekiti wenu mbona chizi fresh mpka kwenye familia yao kuna vichaa,mdogo wake chizi fresh kitambo
 
Jeshi la Polisi litoe hadharani foot prints za CCTV Camera zilizopo eneo lote la Nyumba za Serikali ambapo Mh. Mbowe alivamiwa zioneshe hayo wanataka kuaminisha Umma. Ninyi ni Jeshi sio Idara ya Propaganda ya CCM.

Polisi sikilizeni, Mbowe alishakuwa ni "taasisi" na fikra zake za "Changes" zipo kwa mamilioni ya Watanzania, kamwe hamwezi kummaliza Mbowe, ambaye yupo kila Kitongoji, Kijiji, Mtaa, Kata, Taraafa, Wilaya na Mkoa. Mbowe yupo kwenye mioya na vichwa vya Watanzania!

Mr mkiki.
Unategemea mjinga kama huyu aseme mazuri kuliko sura yake,meno utafikiria chainsaw ya kupasua mbao
IMG_20200610_121059.jpeg
 
Comrade ngoja nami nichangie uzi wako kukupa support
 
Mkuu tusipende kuwalaumu polisi kwa kila kitu. Linapotokea tukio kisheria lazima polisi waende eneo la tukio. Na moja ya mambo wanayoyakiwa kuhoji ni pamoja na kuhoji wakazi eneo jirani na tukio.
Sasa kama victim anasema alipiga makelele wakati anakanyagwa na komandoo Mashimo,alafu hamna mtu aliyesikia? Polisi waseme nini?
Typing error ya Nkya na Mukya sio sababu ya kuwalaumu pia.
Najua kuna matukio mengi huwa wanafanya uzembe. Lakini kwa hili hata mimi nina mashaka sana. The Chairman was drunk.
Nami nilimjibu Mkuu Paskali nikiamini amechangia mjadala kiusanii tu.

Toka mwanzo nilionesha wasiwasi kuhusu taarifa za tukio kama zilivyotolewa na viongozi wa CHADEMA. Kimsingi wamefanya hivyo kumlinda Boss wao, kama wafanyavyo siku zote, pamoja na tuhuma nyingi za kiuongozi dhidi yake.

Narejea hisia zangu hapa:
Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa
 
Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
Majirani kama hao hawakusikia pia kushambuliwa kwa mh Tundu Lissu 2017 Kwa milio ya Bunduki ya kivita? Umbali wa nyumba zao toka kwa Lissu ni upi? Walitoa msaada wowote kuzuia shambulizi? !!!!!!!!
 
Mara paaap video ya mbowe akishambuliwa yavuja....kudadadadeki



Au paap mbowe akidondoka kwa ulevi ktk ngazi.....dadadadeki
 
Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
sura sio kila kitu...
 
Duh...!.
P
I never thought you could be this coward!
I remember "kitimoto" back then
Though i was in my very early teenage but your bravery to demand answers to some community burning issues inspired me.
But today this uncle pasco ain't the same bold dude i used to know
Old age has caught up witchu maaaan.
 
Pombe haina m'babe,ukiinywa bila ustaarabu itakuumbua.Sasa mambo hadharani KUB umeumbuka Mkubwa.
Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?

Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?

Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"

Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Acha kutete mlevi.
 
Back
Top Bottom